Napata mashaka na huyu binti mshika dini na kauli zake

Hiyo situation ishawahi kunikuta na mwanamke wa Ina hiyoo wa kujifanya kushika dini,jiandae na vizinga .. ###temana nae mkatae kimya kimya ...hamna upendo hapo unapoteza muda wako ..Fanya mambo ya msingi Kwa mstakabali wa maisha yako.

Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
 
Kweli mkuu mbona hata mimi kashawahi niomba pesa mara ooh nitakurudishia lakini wapi ajarudisha.
 
Nakuona unavyozidi kufanya kazi ya kumu kanda mbwa kizazi[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kimbia ndugu yangu tena kwa kasi ya Umeme
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…