Napata mashaka na huyu binti mshika dini na kauli zake

Utaja jua mbele ya safari mkuu wewe kwa sasa kaa ukijua unafanya kazi ya kumu kanda mbwa kizazi
Aisee sawa mkuu me nishampotezea huyu manzi kimya kimya
 
Kimbia ndugu yangu tena kwa kasi ya Umeme
πŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈ tena kwa kasi ya 5G mkuu
 
wote hamueleweki.
 
IIli
Upate mwanamke wa dini kweli nawe inabidi uwe mtu wa kiroho kabisa vinginevyo utapata ambaye amejificha kwenye dini kumbe ndo walewale
 
Chakata demu ukipenda oa tulia ndio maisha sasa akilia ukalia ndio umefanyaje .

Huyu anakutaka ila hakuamini
 
IIli

Upate mwanamke wa dini kweli nawe inabidi uwe mtu wa kiroho kabisa vinginevyo utapata ambaye amejificha kwenye dini kumbe ndo walewale
Ni kweli mkuu ila kwa huyu nashindwa kumuelewa maana namuona sitaki nataka.
 
Chakata demu ukipenda oa tulia ndio maisha sasa akilia ukalia ndio umefanyaje .

Huyu anakutaka ila hakuamini
Na hapa ishu aniamni labda anaona mimi sio mtu wa dini sana kama yeye mara atnasema ataki kufanya mapenzi hadi ndoa.
 
Mambo yake muachie mwenyewe, fanya mambo mengine...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…