Darkhorse001
JF-Expert Member
- Dec 19, 2020
- 306
- 538
Ilibidi niangalie joined since when, nilipoona ni yesterdaykama huu ndo uzi wako seriously basi tutarajie mengi huko mbeleni.
Nikaelewa vitoto vya form 6 hv 😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ilibidi niangalie joined since when, nilipoona ni yesterdaykama huu ndo uzi wako seriously basi tutarajie mengi huko mbeleni.
Huyu Ashura wa mpanda namjua vizuri na juzi nimepita kwao bibi yake anaumwa siku ya tatu sasa mdogo wake Rajabu ndio kabaki na jukumu la malezi.Usagara nayo ni Marekani ..tunaiitaga USA... LABDA anaishi usagara ya kwanza au Tanga.
Sijui kama Moderator watakuacha kwa kukiuka sheria za JFHuyu Ashura wa mpanda namjua vizuri na juzi nimepita kwao bibi yake anaumwa siku ya tatu sasa mdogo wake Rajabu ndio kabaki na jukumu la malezi.
Just imagine,juzi kapita na mzigo wa kuni hapa anasema anenda kumchemshia bibi yake maji na dada yake Ashura kaenda Daslamu.Leo hii Ashura anatueleza habari za maisha ya Kimarikani sijui mlimani city bure kabisa
Aaah kumbe huko serious kiongozi na maisha ya humu sawa kila la kheri
Hizo ni sheria za JF sio mimi,huwezi kutaja watu kwa majina yao.Aaah kumbe huko serious kiongozi na maisha ya humu sawa kila la kheri
😂😂😂😂😂 anatupumzikia, Nimecheka!Unatupumzikia sio
Tatizo lako ni kama langu... Huna nidhamu ya pesa. Usipokuwa na nidhamu ya pesa hata upewe Bilioni moja bado itaisha punde ndani ya muda mfupi bila kufanya nayo kitu cha maana.. Suluhu ya hili ni kujifunza kuwa na nidhamu ya pesa.Mim naitwa Maina ni mtanzania nisoma marekani chuo kikuu cha MIT nina umri.wa miaka 23. Sina muda mrefu kuingia humu JF. Nimekomaa kiakili ila si kimwili.
Nilisoma Tanzania kidogo nikahamia Marekani. Nilisoma level zote ke na hadi chuo.
Nimeamua kuja nchi ya amani. Naipenda sana Tanzania. Ninafanya kazi nzuri tu. Na ninapata pesa. Kwa Marekani matumizi ni ya juu. Nikiwa tz kwa wastani wa Tsh milioni 3 kwa mwezi ni pesa ambayo naimaliza kwa wiki 2 hadi 3. Kiufupi mimi sina jidhamu ya pesa kule marekani nikinunua Pombe za mwez mmoja inatosha ila huku hairoshi. Sabab ni kipato pesa ninayopata kwa mwezi haitoshelezi matumizi makubwa hasa nikifanya manunuzi sehem ghali kama mlimani City nk.
Hiyo ni brief fupi kuhusu cash and purchases monthly.
Wiki mojaniliuopita niliamua kutafuta kazi kampuni nyingine walau nipate 5mil p/m labda itanitosheleza. Ndg zangu nchi inaamani sana na maisha ni wewe mwenyewe. Nipo hapa naona amani ni moyo sio pesa. Ila nimefanya research hata hata serikalini ningeomba kazi ila nllabda kama ningekuwa mkuu.wa idara ila posho ya HoD ni chini milioni labda benki kuu nk.
Kikafanya research sector mbalimbali nikaambulia hali ngumu na ndio maana rais wa Tanzania lazma awe kama magufuli na ndio maana mama anampenda makonda. Niwambie mama hashindwi kumpa makonda PM.
Viongozi baadhi ni wezi wanajitajirisha sana na mimi kwa mawazo yangu raisi wa Tanzania wapende watumishi wa umma. Ukiwajali na sector binafsi watawajali watumishi wao hata House girl anaweza akalipwa 500,000.
This is a brief statement from me maina.
Niende kweny hoja.
Napata mshahara ila unaisha 2 hadi 3 week. 4th weeks naishia kukopa. Nisaidieni ushauri
Ok nimekupata kiongoziHizo ni sheria za JF sio mimi,huwezi kutaja watu kwa majina yao.
Americans wanaita wali ni survival food, Chakula ya masikiniWewe ndio wale wa heri ugali dagaa kwenye amani kuliko wali nyama kwenye ubaguzi.
Nmetolea mfano wa vyakula vyetu huku, wali unayo heshima yake kwa hapa tz.Americans wanaita wali ni survival food, Chakula ya masikini
Mambo Maiii...Mim naitwa Maina ni mtanzania nisoma marekani chuo kikuu cha MIT nina umri.wa miaka 23. Sina muda mrefu kuingia humu JF. Nimekomaa kiakili ila si kimwili.
Nilisoma Tanzania kidogo nikahamia Marekani. Nilisoma level zote ke na hadi chuo.
Nimeamua kuja nchi ya amani. Naipenda sana Tanzania. Ninafanya kazi nzuri tu. Na ninapata pesa. Kwa Marekani matumizi ni ya juu. Nikiwa tz kwa wastani wa Tsh milioni 3 kwa mwezi ni pesa ambayo naimaliza kwa wiki 2 hadi 3. Kiufupi mimi sina jidhamu ya pesa kule marekani nikinunua Pombe za mwez mmoja inatosha ila huku hairoshi. Sabab ni kipato pesa ninayopata kwa mwezi haitoshelezi matumizi makubwa hasa nikifanya manunuzi sehem ghali kama mlimani City nk.
Hiyo ni brief fupi kuhusu cash and purchases monthly.
Wiki mojaniliuopita niliamua kutafuta kazi kampuni nyingine walau nipate 5mil p/m labda itanitosheleza. Ndg zangu nchi inaamani sana na maisha ni wewe mwenyewe. Nipo hapa naona amani ni moyo sio pesa. Ila nimefanya research hata hata serikalini ningeomba kazi ila nllabda kama ningekuwa mkuu.wa idara ila posho ya HoD ni chini milioni labda benki kuu nk.
Kikafanya research sector mbalimbali nikaambulia hali ngumu na ndio maana rais wa Tanzania lazma awe kama magufuli na ndio maana mama anampenda makonda. Niwambie mama hashindwi kumpa makonda PM.
Viongozi baadhi ni wezi wanajitajirisha sana na mimi kwa mawazo yangu raisi wa Tanzania wapende watumishi wa umma. Ukiwajali na sector binafsi watawajali watumishi wao hata House girl anaweza akalipwa 500,000.
This is a brief statement from me maina.
Niende kweny hoja.
Napata mshahara ila unaisha 2 hadi 3 week. 4th weeks naishia kukopa. Nisaidieni ushauri
Chai.Mim naitwa Maina ni mtanzania nisoma marekani chuo kikuu cha MIT nina umri.wa miaka 23. Sina muda mrefu kuingia humu JF. Nimekomaa kiakili ila si kimwili.