Napata wapi mtu wa kuongea naye?

Mmekosa cha kushauri eehee, Mnaamua kuharibu uzi wa watu πŸ˜‚πŸ˜‚
Ila depression ni mbaya sana yaani. Cha kumshauri asikilize TBC kesho jumatano usiku kuanzia nne na robo mpaka saa sita usiku. Atapona kabisa tamuuuuu
 
nasemaje arsenal epl habebi na uefa msimu ujao tunampa bayernπŸ˜‚πŸ˜‚
Me sio Arsenal πŸ˜‚
Arsenal wanaiona nchi ya ahadi, ila hawataingia.
Wamerudi kileleni. Ila Man city ana mechi 2 mkononi. Ni shwaaaap anatokapo tena
 
Ila depression ni mbaya sana yaani. Cha kumshauri asikilize TBC kesho jumatano usiku kuanzia nne na robo mpaka saa sita usiku. Atapona kabisa tamuuuuu
πŸ˜”πŸ˜” na ukose mtu wa kumtapikia, uwii ndio inakuwa balaa
 
Me sio Arsenal πŸ˜‚
Arsenal wanaiona nchi ya ahadi, ila hawataingia.
Wamerudi kileleni. Ila Man city ana mechi 2 mkononi. Ni shwaaaap anatokapo tena
Utashindwa kuiona pepo kwa sababu ndogo tu. Toka lini Cytzen ina mashabiki hapa Tanzania??? ,🀣🀣🀣🀣
Najua Mzee Jakaya Kikwete ni shabiki wa Newcastle toka kitambo na sasa hivi inajitafuta muda si mrefu inakuwa ya moto.
 
we jamaa uko na shida kisaikologia kama unangalia movie za kikorea acha naona zina haribu watu wengi sana.
take your time kujifunza new skills kusoma vitu tofauti. mfano mm na soma cosmology just for funny,jaribu na ww utafute kitu unacho penda ufanye,

Acha kutumia instagram inaonekana uko rahis kuafectiwa na maisha au mitizamo ya watu wengine.
 
Utashindwa kuiona pepo kwa sababu ndogo tu. Toka lini Cytzen ina mashabiki hapa Tanzania??? ,🀣🀣🀣🀣
Najua Mzee Jakaya Kikwete ni shabiki wa Newcastle toka kitambo na sasa hivi inajitafuta muda si mrefu inakuwa ya moto.
shabiki wa citizen tupo kibao mkuu
 
πŸ˜”πŸ˜” na ukose mtu wa kumtapikia, uwii ndio inakuwa balaa
Atafute tu nampa namba ya Phycologist atapike yote.πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Humu JF watamvuruga tu maana wengine Stress zimekuwa kama ni sehemu ya maisha yetu
 
Kabisa humu uwe na kifua na usiwe namtu wa hasira unaweza kuwa una stress kidogo Kuna Mt Anatafuta wa kugombana nae ndo stress zake zitulieπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…