Napata wapi muongozo unaoonesha ni ndugu gani hawaruhusiwi kuoana na ambao wanaweza?

Napata wapi muongozo unaoonesha ni ndugu gani hawaruhusiwi kuoana na ambao wanaweza?

Kidini miongozo hii hapa:
4 Mtazifanya hukumu zangu, nanyi mtazishika amri zangu, ili mwenende katika hizo; mimi ndimi Bwana, Mungu wenu.
Mambo ya Walawi 18:4

5 Kwa ajili ya hayo mtazishika amri zangu na hukumu zangu; ambazo mtu akizitumia ataishi kwa hizo; mimi ndimi Bwana.
Mambo ya Walawi 18:5

6 Mtu ye yote aliye wa kwenu asimkaribie mwenziwe aliye wa jamaa yake ya karibu ili kumfunua utupu; mimi ndimi Bwana.
Mambo ya Walawi 18:6

7 Utupu wa baba yako, wala utupu wa mama yako, usifunue, maana ndiye mama yako; usifunue utupu wake.
Mambo ya Walawi 18:7

8 Utupu wa mke wa baba yako, usifunue; maana, ni utupu wa baba yako.
Mambo ya Walawi 18:8

9 Utupu wa umbu lako, binti ya baba yako, au binti ya mama yako, kwamba alizaliwa nyumbani mwenu au kwamba alizaliwa kwengine, utupu wa hao usifunue.
Mambo ya Walawi 18:9

10 Utupu wa binti ya mwanao mume, au wa binti ya binti yako, utupu wao hao usifunue; kwa kuwa ndio utupu wako mwenyewe.
Mambo ya Walawi 18:10

11 Utupu wa binti ya mkewe baba yako, aliyezaliwa na baba yako, yeye ni umbu lako, usifunue utupu wake.
Mambo ya Walawi 18:11

12 Usifunue utupu wa umbu lake baba yako; maana, yeye ni jamaa aliye karibu.
Mambo ya Walawi 18:12

13 Usifunue utupu wa umbu la mama yako; maana, yeye ni jamaa ya mama yako ya karibu.
Mambo ya Walawi 18:13

14 Usifunue utupu wa ndugu ya baba yako, usimkaribie mkewe huyo; yeye ni shangazi lako.
Mambo ya Walawi 18:14

15 Usifunue utupu wa mkweo mwanamke; yeye ni mke wa mwanao; usifunue utupu wake huyo.
Mambo ya Walawi 18:15

16 Usifunue utupu wa mke wa nduguyo; maana, ni utupu wa nduguyo.
Mambo ya Walawi 18:16

17 Usifunue utupu wa mwanamke na binti yake; usimtwae binti ya mwanawe mume, au binti ya binti yake, ili kufunua utupu wake; hao ni jamaa ya karibu; ni uovu mkuu.
Mambo ya Walawi 18:17

18 Wala usitwae mwanamke pamoja na nduguye, awe mtesi wake, na kufunua utupu wake, huyo wa pili atakapokuwa yu hai.
Mambo ya Walawi 18:18

19 Nawe usimkaribie mwanamke kufunua utupu wake wakati wa kutengwa kwa ajili ya unajisi wake.
Mambo ya Walawi 18:19

20 Usilale na mke wa mwenzio, ukajitia unajisi naye.
Mambo ya Walawi 18:20

22 Usilale na mwanamume mfano wa kulala na mwanamke; ni machukizo.
Mambo ya Walawi 18:22

23 Wala usilale na mnyama ye yote, ili kujitia unajisi kwake; wala mwanamke asisimame mbele ya mnyama ili kulala naye; ni uchafuko.
Mambo ya Walawi 18:23
Kisayansi:
Ukioana na ndugu wa karibu upo uwezekekano wa genes ambazo ni hatari kujitokeza na kuleta madhara kwa kiumbe atakayezaliwa hususani koo zenye hizo genes( lethal genes).
NAOMBA KUWASILISHA.
Hawataki Agano La Kale Lete Kutoka Kwenye Agano Jipya.
 
sasa haya wameandikiwa waarabu uko yanakupataje wewe mmatumbi wa ligangabilili mkoa mpya wa itilima?
Kumbe Lengo Lako Ni Kuleta Upuuzi Mbele Ya Waungwana Wewe Kwenye Kizazi Chako Toka Enzi Za Kale Kuna Mmoja Ameshawahi Kumdovee Na Inaonekana Hivi Punde Utafuata Nyayo Au Umeshafuata Tayari Hivyo Na Wewe Wanakudovee.
 
mkuu umetoa wapi haya? una uthibitisho apo?
Quran Yenyewe Inajisithibitisha Sio Kama Bible,Quran Inasema Yenyewe kuwa Ni Ujumbe Kwa Walimwengu Wote Na Wakati Mwingine Inasema Enyi Watu Hakuna Sehemu Inasema Ujumbe Huu Ni kwa Waarabu,Bible Ndo Ina Mambo ya kutaja Mara Israel Mara waebrania Shida Yako Umepewa Kichwa Ila Umenyimwa Akili.
 
Back
Top Bottom