Napata Wasiwasi Sana Na Uelekeo Wa "DiamondPlatnumz"

Kiukweli mondi zamani ndo alikua anaimba saivi kawa densa na sijui kama unaweza kua kimataifa kama taifa lako hauko sawa nalo kwa kimuziki na ww unaonaje mwenendo wake saiv na zamani
 
Wewe ndo umeongea ukweli kabisa aisee
 
Kwa ukubwa wa Tiwa savage mi naona amefanya kitu sahihi kabisa.. Wanaigeria industry yao kubwa mkuu usiwachukulie poa kabisa
 

Mkuu umenichekesha sana aisee
 
Kiukweli mondi zamani ndo alikua anaimba saivi kawa densa na sijui kama unaweza kua kimataifa kama taifa lako hauko sawa nalo kwa kimuziki na ww unaonaje mwenendo wake saiv na zamani
Naona umetoka kwenye mada...! Kumbe upo kwenye kuponda!! Sasa nini kilikuwa kinakufanya uzunguke mbali kooooooooooe huko!!!

The problem, watu hamfahamu soko la muziki linataka nini!!! Soko la muziki halipo kwenye kuangalia taste ya mtu mmoja mmoja bali linaangalia majority wanataka nini!!!

Na ndio maana wakati nyie mnaamini hawezi kuimba na amekwisha, ndo kwanza jamaa anaendelea kudaka shows za kitambi!

Next week atakuwa Goma kwa ajili ya miaka ya 57 ya Uhuru wa DRC! Akirudi anatulia kidogo anachukua show ya Castle Lite! Hapo ni mwezi juzi tu alikuwa na show Zambia na few weeks ago alikuwa Nairobi!

Huyo ndo Diamond unayemuona hajui kuimba!!!!!

Na isitoshe... hizi habari za kwamba hajui kuimba au ameshaisha hazijaanza leo!!! Zaidi ya miaka 5 iliyopita watu wamekuwa wakitabiri kuporomoka kwa Diamond, lakini wapi!!!
 
Aliponza kumwimbia Makonda basi nilianza kuona anapotea Taratibu bila yeye kujiafahamu sasa hivi ndo basi tena
 
Wewe ndo umeongea ukweli kabisa aisee
Kama ameongea ukweli kabisa basi msaidie kujibu haya maswali yaliyotokana na hoja yake manake hadi sasa hajayajibu:
 
Ifuatayo ni Orodha ya Wapiga Ramli Mashuhuri Kwenye Muziki wa Tanzania kwa Kipindi cha Miaka 6 iliyopita:
January 27, 2015:
Kama wewe ni mfuatiliaji wa trend ya muziki hapa nchini utagundu hivi karibuni heshima ya diamond kimuziki imeshuka sana ila kinachoweka juu ni tetesi na magazeti na ni habari zisizohusiana na muziki,
November 20, 2014:
Diamond kweshiney nimesiki huo wimbo wake hamna kitu
Tena kuna vijana wengi tu wameachia ngoma zao week hii wamemfunika chibu bye bye Domo mr nice yuleeee anakusubiri kona bar mkacheze pool table!!
November 30, 2013: March 21, 2011:
namhurumia dogo almas toka pa shoka hapaingii kisu na soon ataanza kushuka kimuziki huyu wema nae kama katiwa ndimu!
 
Hio shughuli ya producer manecky, diamond nje ya manecky hamna lolote la maana alilofanya zaidi ya kutoa nyimbo mbovu kimapigo na kimashairi.
Refer to: Ukimwona, Mawazo, Mbagala, Nitarejea, Nenda Kamwambie n.k
Mbona hizo nyimbo ulitaja zote zilitengenezwa na Bob junior kasolo moja mawazo
 
Oya kesho natoa kichupa mitaa ya coco beach karbun masela pia ukiwa na watoto wakali wastuee ili video iwe tamu. Kama uko fresh nichek maximum watu 25.
 
Ivi huyu jamaa keshagawa namba kwa mashabiki wake..?
 
Hio shughuli ya producer manecky, diamond nje ya manecky hamna lolote la maana alilofanya zaidi ya kutoa nyimbo mbovu kimapigo na kimashairi.
Refer to: Ukimwona, Mawazo, Mbagala, Nitarejea, Nenda Kamwambie n.k
mh kama vile kuna ka ukweli hapa
 
Una muono mzuri sana joh, Labda one day anaweza kubadilika kama tukiendelea kumwambia hivi,

hatumuombei aanguke ila kama wasikilizaji tunataka kile kilicho bora,

umetolea mfano wimbo wa NALIA umenikumbusha mbali sana.
I miss old Diamond kwa kweli.
Umeongea point,bila sisi kumwambia ukweli atapotea,mashabiki wake lazima tumwambie ukwel tu
 
Nyimbo zote kali lakini mimi kwa kweli I miss u dah naiangalia kila saa ngoma kali plus video na ile verse ya pili ndo kaua kabisa yani. Mond ni jini wa nchi kavu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…