wamikazo
Senior Member
- Dec 27, 2016
- 128
- 61
Kiukweli mondi zamani ndo alikua anaimba saivi kawa densa na sijui kama unaweza kua kimataifa kama taifa lako hauko sawa nalo kwa kimuziki na ww unaonaje mwenendo wake saiv na zamaniHizo kampuni za mikoani ni kama zipi kwa mfano?!
Kama ni hizi kampuni za kawaida zitaishia kudhamini shows za akina Young Dee peke yake lakini sio mtu kama Diamond. Diamond amekupunguzia sana labda 20M. Huwezi kurudisha 20M kwa kutegemea viingilio vya mlangoni!
Chukulia ile show ya Mombasa mwaka jana! Diamond alilipwa Sh. 5 million za Kenya! Shilingi milioni 5 za Kenya ni takribani sh. 100 Million za Tanzania! Kampuni gani kwa hizi za mikoani italipa hiyo pesa?! Na ni kutokana na huo ukweli ndio maana hata Kenya Diamond huwa anaitwa kwenye festivals au big shows kwa sababu zinakuwa na sponsors. Mathalani, show ya hivi karibuni aliyopiga Nairobi!
Kwa Tanzania chukulia mfano wa show ambayo alipiga Iringa! Ile ilikuwa full sponsored na Vodacom!!! Aidha mwaka jana hiyo hiyo alipiga show Kyela kwenye ufunguzi wa Ngonga Beach Resort! Hii hapa namba ya simu ya Ngonga: 0712 169 669. Wapigie jifanye unataka ku-book room wakutajie bei zao halafu uone kama kwao kumpa show Diamond ingekuwa tatizo!!! Mwakajuzi alipiga show Leaders... hii ilikuwa full sponsored na Tigo!!!
In short, sio mikoani tu... hata Dar es salaam shows za Diamond zimeshakuwa adimu labda aamue kufanya pro bono jambo ambalo ni gumu!!
Na hii sio kwa Tanzania tu... sehemu nyingi shows zinazohitaji wasanii wakubwa lazima zipate sponsorships kutoka kampuni kubwa kubwa!!!