LESIRIAMU
JF-Expert Member
- Feb 12, 2008
- 9,006
- 14,536
Yaani leo nime weka bundle ya 1.5gb zimeisha ndani ya masaa mawili.Nape anashiba na kusaza awamu hii. Mama alishamtoa wasiwasi Nape na mawaziri wengine kwamba hatowatumbua hata wakikosea. Hivyo hawana hofu tena.
Nape anaulizwa kuhusu TOZO mpya za miamala ya kibenki anajibu kwa nyodo. Majibu yake yananuka shombo la ulevi wa madaraka.
Nchi hii jamani! Acha tu.
View attachment 2327500
Shikamoo voda!!!