Suleman Jr
JF-Expert Member
- Jun 28, 2022
- 341
- 525
Hisia zako tu, wote hao si walikua viongozi enzi za magu? Au unajisahaulisha, hakuna tofauti yoyote ya magu na samia mabaya yao ni yaleyale tu. Wote hawafaiRais Samia kwanini unawakumbatia Mwigulu, Makamba na Nape? Mbona hawafai kabisa yaani wanakuhujumu wazi wazi. Tunamlilia Dkt Magufuli, angekuwepo gharama za maisha zingekuwa chini na watu hawa wasingekuwepo kabiaa kwenye safu za uongozi.