kibori nangai
JF-Expert Member
- Jan 14, 2015
- 1,430
- 2,130
Oooo analamba asaliiNape anashiba na kusaza awamu hii. Mama alishamtoa wasiwasi Nape na mawaziri wengine kwamba hatowatumbua hata wakikosea. Hivyo hawana hofu tena.
Nape anaulizwa kuhusu TOZO mpya za miamala ya kibenki anajibu kwa nyodo. Majibu yake yananuka shombo la ulevi wa madaraka.
Nchi hii jamani! Acha tu.
View attachment 2327500
Bregedia Mosses Naiwe kashamundalia njia ya kulambia asali,
Na ndio maana anakiburii,na hata akishindwa atatangazwaa.
Kama Mzee wa bumbulii
Watoto wa mama ,vipenzi vya Mama hao
Kipindi kile cha Mzalendo wa KWELI angethubutu aonee.
Yupo huku aje ajaribu kukanusha
Aone nimlipue