Nape aanza nyodo kwa wananchi. Anatoa majibu ya shombo

Nape aanza nyodo kwa wananchi. Anatoa majibu ya shombo

Baada ya kuondolewa uwaziri wa mambo ya ndani kuna siku nilimkuta kaharibikiwa gari porini njia ya Moro Dar. Na kwa nafasi aliyoipata atahakikisha anaiba ili awe kama Ruto. Tutegemee mauaji makubwa kwa wanaompinga
Jamaa kaiba fedha za passport na bado kapewa wizara nyeti.

Sijui tuna matatizo gani??

Kwani hakuna watanzania wengine waadilifu wa kuwapa nafasi mpaka turudie wale wale wezi??
 
Nape anashiba na kusaza awamu hii. Mama alishamtoa wasiwasi Nape na mawaziri wengine kwamba hatowatumbua hata wakikosea. Hivyo hawana hofu tena.

Nape anaulizwa kuhusu TOZO mpya za miamala ya kibenki anajibu kwa nyodo. Majibu yake yananuka shombo la ulevi wa madaraka.

Nchi hii jamani! Acha tu.

View attachment 2327500
Nape Nnauye njoo huku tunakusimanga
 
Huyu jamaa nilikuwa namkubali hata alipotolewa najiwe naimani nawatz wengi pamoja namimi niliumia sana kumbe jamaa wahovyo kabisa hivi anajuwa niwatz wangapi waliumia kipindi kile chajiwe alipo mtimua hayandio malipokweli ilawajuwe watatupa taabu sana kuizungumzia ccm mbele zawatu watapna mavuno wanayo panda
Ndio mkome
 
Si mlimwoonesha huruma wakati akinyooshewa bastola kutoka kwa kibano cha mpapuro mkafikiri ni mwenzenu sasa oneni wenyewe kwa macho na masikio yenu msikie wenyewe kwamba yeye ni nani na hakuna mu wa kumfanya chochote. Msikimbilie kuunga mkono mtu kwa matendo ya gizani msiyoyajua dhidi ya mtu fulani. Wote waliomkashifu JPM wako madarakani kwa sasa na nyodo hizo ndio uthibitisho walifanya nini.......bado mengine yatatokea ya ajabu na kusikitisha lakini hatolewe pale........wana hati miliki ya nchi
Kwa kweli uchawi unahusika sana
 
Nape anashiba na kusaza awamu hii. Mama alishamtoa wasiwasi Nape na mawaziri wengine kwamba hatowatumbua hata wakikosea. Hivyo hawana hofu tena.

Nape anaulizwa kuhusu TOZO mpya za miamala ya kibenki anajibu kwa nyodo. Majibu yake yananuka shombo la ulevi wa madaraka.

Nchi hii jamani! Acha tu.

View attachment 2327500
Bitterness inasumbua akili za kitanzania. Tunaishi kwa machungu mengi na hatujui lini yataisha.
 
Itafika mahali tutaelewana tu.
Baadhi ya viongozi wa sasa ni walamba asali. Hawajali wananchi wa kawaida aka maskini!
Nape ana dharau sana. Namfahamu na wala si kwa kuambiwa bali kwa kuthibitisha. He is not humble. He is very harsh!
Ila ipo siku atajifunza kuwa maisha ni watu na hapaswi kuwabagua hata kama wana hadhi ya chini kuliko aliyonayo.
I can feel you lanlady
 
Laana toka lini ikafanya kazi? Ingekua hivyo mboye Leo hii angekua amelaanika maana alichofanya kwa wangwe, slaa na wengine ni laana kubwa
Slaa alikimbia mwenyewe baada ya kuahidiwa cheo , aliyesababisha kifo cha Wangwe alipewa msamaha na Mkapa
 
Back
Top Bottom