Nape aanza nyodo kwa wananchi. Anatoa majibu ya shombo

Baada ya kuondolewa uwaziri wa mambo ya ndani kuna siku nilimkuta kaharibikiwa gari porini njia ya Moro Dar. Na kwa nafasi aliyoipata atahakikisha anaiba ili awe kama Ruto. Tutegemee mauaji makubwa kwa wanaompinga
Jamaa kaiba fedha za passport na bado kapewa wizara nyeti.

Sijui tuna matatizo gani??

Kwani hakuna watanzania wengine waadilifu wa kuwapa nafasi mpaka turudie wale wale wezi??
 
Nape Nnauye njoo huku tunakusimanga
 
Ndio mkome
 
Kichwa yake ni nyepesi sana, wamezoea kubebwa kwa mbeleko sijawahi kumuelewa kabisa,, ile video akivuja jasho kwenda kuomba msamaha kwa magufuli mwenye atuwekee ili tumkumbushe kuwa kesho ipo asijisahau Sana,,
 
Kwa kweli uchawi unahusika sana
 
Bitterness inasumbua akili za kitanzania. Tunaishi kwa machungu mengi na hatujui lini yataisha.
 
I can feel you lanlady
 
Laana toka lini ikafanya kazi? Ingekua hivyo mboye Leo hii angekua amelaanika maana alichofanya kwa wangwe, slaa na wengine ni laana kubwa
Slaa alikimbia mwenyewe baada ya kuahidiwa cheo , aliyesababisha kifo cha Wangwe alipewa msamaha na Mkapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…