Nape aanza nyodo kwa wananchi. Anatoa majibu ya shombo

Oooo analamba asalii
Bregedia Mosses Naiwe kashamundalia njia ya kulambia asali,
Na ndio maana anakiburii,na hata akishindwa atatangazwaa.
Kama Mzee wa bumbulii

Watoto wa mama ,vipenzi vya Mama hao
Kipindi kile cha Mzalendo wa KWELI angethubutu aonee.

Yupo huku aje ajaribu kukanusha

Aone nimlipue
 
Mli
Mlimuona mwenda zake anamuonea huyu Vuvuzela amesahau alivyotembea kwa magoti kwenda kuomba msamaha ikulu.
 
Nape ana nyodo na kiburi nmewahi kushudia hili mwaka 2015 pale Dodoma makao makuu akiwa anawajibu shombo vijana wa Uvccm vyuo vikuu.

Sent from my Infinix X665B using JamiiForums mobile app
Kumbe unamjua ee?
Na anajibu wala hajali kabisa.
Yaani kama humfahamu, unaweza kuhisi ametoka familia bora ya kishua fulani hivi.
Kumbe mganga njaa tu kama sisi!
 
Vipi wale tunaowatumia watoto wote Tsh 3000 za matumizi
 
Utakuja kufilibwa MPaka usikie utamu unaoutakaa

Sent from my Nokia 4.2 using JamiiForums mobile app
 
Jamaa anapenda kujikweza na anahisi pale lumumba na ccm kwa ujumla kama mali ya urithi wa baba yake.

Nje ya cheo anajifanya ana akili sana.
Jamaa ndio alivyo, huwa ndio tabia yake halisi. Ndio maana JM alimfyekaga haraka sana.
 
Mkuu una akili ya ajabu sana kwa hiyo mfumuko wa gharama za maisha upo kwenye tozo za miamala peke yake? Una shida flani sio bure
 
Kuna jamaa yangu mmoja aliniambia eti hizi tozo za hovyo hovyo, bei za ajabu za bidhaa mbalimbali ikiwemo Petrol nk haziwahasu pale Lugalo!
Nikambishia kuwa haiwezekani. Akaniambia, sasa inamaana nao ni mafala kama sisi wote tunaojibiwa nyodo na hawa mawaziri kila siku?
SIKUMUELEWA, nisaidieni alimaanisha nini swali lake?
 
Ndo wanajiita wenye CCM hawa jamaa
 
Kama sio kumharibia Bi Samia ni nini? maana yake ni usilete fyokofyoko kwenye hiyo picha.

Sasa tofauti yake na ile ya Polepole kutukatia mauno ni ipi?
Anaharibiwa na nani? Yaani hiyo imo moyoni mwake, haitokei tu mtu anabandika atakavyo bila mhimili wa executive kujua

Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
 
Reactions: nao
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ majibu mazuri sana ya Nape. Kidogo kidogo tutaelewana tu
 
Reactions: nao
Nape angejifunza hikma na utulivu wa Mwenye Baba Ndugu Ridhwani Kikwete

Ridh1 katukanwa na anamtukanwa sana
Huyu Ridh1 anaandaliwa kuwa Rais, probably 2025 au 2030. Atakuwa alielekezwa kuishi ki-Rais kabla hajawa Rais ndio sababu hajibizani akitukanwa au akisemwa vibaya. Hata kumpa nafasi ya unaibu waziri imekaa kimkakati, Naibu Waziri kuchafuka ni kazi ngumu tofauti na Waziri, kwa hiyo amepewa unaibu ili awe relevant siasani bila kuchafuka
 
Hiyo 3,000 ndo nyie walamba asali mnakatwa mkitoa ml 3!?
Sisi wananchi tunatozwa hivi

9GF77GLARMJ Confirmed. On 15/8 8:37 AM Withdraw Tsh990,000.00 from 578513 - THE CAPITAL PARK COMPANY LIMITED Total fee Tsh11,551.00 (M-Pesa fee Tsh8,000.00 + Government levy Tsh3,551.00). Balance is Tsh1,568,979.75.
 
Akina nani hao wapo madarakani walimkashifu magu?
90% ya viongozi wa sasa ni walewale wa magu, yaani ujinga ni uleule tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…