Nape aanza nyodo kwa wananchi. Anatoa majibu ya shombo

Rais Samia kwanini unawakumbatia Mwigulu, Makamba na Nape? Mbona hawafai kabisa yaani wanakuhujumu wazi wazi. Tunamlilia Dkt Magufuli, angekuwepo gharama za maisha zingekuwa chini na watu hawa wasingekuwepo kabiaa kwenye safu za uongozi.
Hisia zako tu, wote hao si walikua viongozi enzi za magu? Au unajisahaulisha, hakuna tofauti yoyote ya magu na samia mabaya yao ni yaleyale tu. Wote hawafai
 
Kwa hiyo wewe na akili zako ni WA kulalamikia elfu 4?

Kwenye miamala ya siku ukitoa laki tuu unakatwa zaidi ya elfu 3 wakati Kwa ATM makato ni madogo zaidi,sasa mtu kulalamika si ujinga tuu?
 

Attachments

  • IMG-20220818-WA0015.jpg
    30.7 KB · Views: 1
Mkuu una akili ya ajabu sana kwa hiyo mfumuko wa gharama za maisha upo kwenye tozo za miamala peke yake? Una shida flani sio bure
Kwa hiyo mfumuko wa gharama za maisha umeletwa na Mwigulu?

Upo Tanzania pekee? Hujui sababu zake? Chuki binafsi zinawasumbua na bahati nzuri hakuna kitu zitabadili unune au uchukie kuanzia January hadi disemba..

Nyie ndio Makamba aliwaambia mkatapike
 
Si kuna kipindi mliwatetea hawa watu kua walionewa na mwenda zake?na mkawapamba kwa sifa kedekede kua ni watoto wa mjini ama?
Tusilalamike tuwe na kumbukumbu jamani,nchi imepoa[emoji38]hakuna kutekana,maisha ni rahisi so tusonge mbele.

Sent from my SM-G9250 using JamiiForums mobile app
 
Leo muda huu ameanzisha uzi twitter akisema kuwa anajibu wale waliomuuliza maswali kwa staha

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…