Nape alichoongea ni ukweli mchungu; atabaki kuwa shujaa daima

Tulia Nape

Heri wawepo wapemba siyo nyie mbugila
 
NAPE'Zero brain πŸ’―βœ…,Acha makasiriko na kaa Kwa kutulia.Mama.amenifurahisha Sana amalize na"" chemba la Taka "",hapo ata kua na uhakika na kura yangu.
 
Kwako na kwao ni shujaa wa goli la mkono,ila kwa wengine inaweza kuwa sio.
 
Nashauri uteuzi ufuate utalaam, weledi, ufahamu wa eneo la uteuzi na uwe mwananchi ambaye amekubali kutumikia nchi yake pasipo shaka na uteuzi usifuate DINI, eneo, ukabila, urafiki, uchawa, jinsia n.k.
Thubutu
 
NAPE'Zero brain πŸ’―βœ…,Acha makasiriko na kaa Kwa kutulia.Mama.amenifurahisha Sana amalize na"" chemba la Taka "",hapo ata kua na uhakika na kura yangu.
Chuki binafsi wezi wako kwenye systen wala sio Nape
 

Nape ni mapepe hakutakiwa hata kuwa waziri. Tatizo la vijana hawa wajinga jinga kupewa uongozi pamoja na makamba, Mwigulu, Ridhiwani wote wajinga jinga. Kuna vijana wengine bora kuliko hawa
 
Salim Ahmed Salim ni Mzanzibari na amewahi kuwa Waziri wa Mambo ya Nje, Tumeshakuwa na mawaziri wa Mambo ya Ndani Kibao Wazanzibari wakiongozwa na Ali Hassan Mwinyi.
Katoba ya Zanzibar ya wakati huo unaijua wewe?
 
Nape kutolewa uwaziri sababu ya kauli yake ya kweli ya"mbinu za ushindi" si haki, maana hata aliyemtoa uwaziri naye basi ilitakiwa awe amefutwa kazi ( na sisi tukiomuajiri) kwa ile kauli yake kwamba "hata ukipiga kura kwingine, CCM ndiyo itakayounda serikali", maana kauli zote zinafanana.

Nimeamini kuwa Tanzania kuongea ukweli ni dhambi na kosa kubwa sana.

Nape hana uwezo wa kiuongozi kama ambavyo wengi wa mawaziri wasivyokuwa na uwezo, lakini hili la kuongea ukweli lazima apongezwe sana na sisi wapenda ukweli.
 
Unapozungumzia Tanganyika kumbuka Rwanda na Burundi zilikuwa sehemu ya Tanganyika,lakini pia 50km kutoka Pwani ya Bahari ya Hindi ilikuwa chini ya utawala wa Sultan.
Je tukubali Tanganyika irudi ili Rwanda na Burundi ziwe sehemu yake..na wakati huo huo hizo 50Km kutoka Pwani ya Bahari ya Hindi ziwe ni sehemu ya Zanzibar...?
 
Hatuwezi kurudia makosa kwa kurudia makosa. Yale yalikuwa makosa ya kiufundi aliyofanya Mwl Nyerere na aliomba radhi kwa hilo. Kwanini tuendelee kurudia kufanya makosa wakati ukweli tunaujua?
Aliomba Radhi kwa kuchagua Wazanzibari kushika Wadhifa? Acha masihara. Tatizo letu sisi ni wajanja mno mitandaoni, ni wapi Hayati JPM na RAIS Samia Waliiba Kura?
 
Uwe na adabu kwa kiongozi wetu acha ujinga wako.
 
Aliomba Radhi kwa kuchagua Wazanzibari kushika Wadhifa? Acha masihara. Tatizo letu sisi ni wajanja mno mitandaoni, ni wapi Hayati JPM na RAIS Samia Waliiba Kura?
Magufuli na Samia hawakuiba kura bali waliba uchaguz wote.. Wewe kebge ina nwaka 2020 ulikuwa umejufa? Majitu kama wewe ndio mnasavabisha nchi hii ichekewe kupata maendeleo.
 
Kama posti zenyewe ndo hizi...ndomaana wakenya wanatudharau....watu tumefungwa na uchawa wa vyama hatupo real kabisa...motherf*
 
Shujaa wa nchi hii ni Mwalimu Julius Kambarage Nyerere period.
 
Jamani mtu akichukua hatua shida, asipochukua hatua shida, kweli hatujui tunataka nini?
Ifike hatua tuwe wazalendo siyo ushabiki kwa kila kitu.
 
Paragraph ya tatu inakuonyesha wewe ni mtu usiye na busara ya ubongo wala mikono! Pia wala hujui mambo ya Muungano. Tumia hii smart phone yako uliyoandika huu uhovyo hovyo kwa kumjua mtu anaitwa Balozi Ahmed Hassan Diria, Dk. Salimu Ahmed Salimu, Ali Ameir Mohmed na Omar Ramadhan Mapuri.πŸ™πŸ™πŸ™
 
Neno shujaa mliheshimu, hamna mtu anakuwa shujaa kwa vitu minor na vya kipumbavu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…