Nape alichoongea ni ukweli mchungu; atabaki kuwa shujaa daima

Nimesoma mwanzo mwisho naona mapichapicha tu.
Umechanganya changanya maneno mpaka nimeshindwakupata point ya maana.
 
Nape tatizo story ndefu
 
Hatuwezi kurudia makosa kwa kurudia makosa. Yale yalikuwa makosa ya kiufundi aliyofanya Mwl Nyerere na aliomba radhi kwa hilo. Kwanini tuendelee kurudia kufanya makosa wakati ukweli tunaujua?
Nchi hii mmezidi ubaguzi! Khaah
 
Nape na Makamba utoto bado wanao mwingi vichwani mwao wanasahau kuwa kwa sasa sio vijana tena.

Kupigania CCM na kulala maporini miaka ya nyuma sio kigezo cha wewe kuongea pumba halafu mheshimiwa SSH aendelee tu kukuachia uwepo kwenye serikali yake.
Kwani Nape kaongea uwongo mkuu? Si ameongea jambo ambalo hata mama analijua kuwa CCM wanaiba uchaguzi, hasa uchaguzi wa mwaka 2020 au wewe ulikuwa umekufa kipindi hicho?
 
Kwani Nape kaongea uwongo mkuu? Si ameongea jambo ambalo hata mama analijua kuwa CCM wanaiba uchaguzi, hasa uchaguzi wa mwaka 2020 au wewe ulikuwa umekufa kipindi hicho?
Hulka ya mtu haitazamwi pale anapofanya tukio moja. Ikumbuke ile tape ya kipindi cha hayati JPM alipomuita kiongozi mkuu mshamba, ni akili zile zile za kimjini na za kitoto kumdharau mtu anayekesha akifanya kazi kwa ajili ya nchi nzima.

Kusema kwamba CCM inaiba kura pia sio kweli, SSH anahangaika dunia nzima kutafuta pesa zinazoifungua nchi nzima, tangu awe Rais SSH anakwenda kila kona ya dunia akitafuta namna za kuboresha ufanisi mzima wa serikali.

Makamba na Nape wakapumzike labda akili zitawakaa sawa.
 
Siku zote mtu asiye na Akili huwa hajui aseme nn ,wapi na mahali na wakati gani,ndio maana magufuli alipoliona hilo aliwafukuza wote wawili Nape na January makamba Yeye SAMIA akajua magufuli ni kiongozi wa hovyo hajui chochote akawarudisha ulingoni na haya ndio matokeo yake.Siku zote mtu asiye sumbua Akili katika kufukiri hachelewi kukufedhehesha na kukutia aibu, yaani kile utakachomwambia usifanye ndicho anachokifanya, kile utakachomwambia usiongee ndicho atakacho ongea.kilaza ni kilaza tu.
 
Tusubiri burudani kigogo anarudi kwa kasi
 
Mumeanza
Mama Samia Nape huyo asije anza kutembea kujitia kuja kuomba msamaha wa kisanii kama aliofanya kwa Magufuli akipokufa akaanza kumtukana

Mwenzio akinyolewa wewe tia maji huyo mnafiki Nape achana naye mchaba atakusifu usiku anakuzomea

Hizi post zao hizi
 
Eti Nape Shujaa, labda Shujaa wa kuiba
 
Wana ndugu wakigombana, chukua jembe lako, nenda ukalime
 
Sasahivi vita lasimi kati ya Samia na WA Tanganyika ndio imeanza lasimi,kati ya watu waliomsumbua Magufuli katika uongozi wake ni Makamba na Nape hawa vijana wanacheni ya wauni Serikali na nje ya Serikali wanaouweza wa kitengeneza jambo na kulivumisha na kuonekana katika jamii kuwa ni kweli,mda si mda mtaa kuonyeshwa maiti zimefungwa kwenye viroba ili Samia nae haonekane ni muuaji kama Magufuli,Samia akitoboa urais 2025 niitwe 🐂 hawa jamaa kama watakuwa nje kama Sasahivi,wapo na Mzee wa Msoga, Kinana wazee wa fitina ngoja niiecheki hii movie inatochezwa na Samia ila hawezi fika mbali.
 
Mkuu kumbe una manaba ujinga, mimi nilidhani una ushabiki wa kijinga tu kumme hata historia ya chi hit huijug au ni Gen Z kuhusu wizara ya mambo ya ndani na pia ya mambo ya nej, je Salimu Ahmed Salimu ni wa wadi, marehemu Mwinyi, Natepe,Nassoro Moyo walitoka wapi hawa walipita wizara ya mambo ya ndani au kipindi kile ulikuwa hujazaliwa na kujifanya hujui kama hizo wizara zimewahi kuongozwa na Wazanzibari, pamoja na kuwaitíes Mwinyi,Nassoro walikuwa na asili ya bara lakini walikuwa Wazanzibari, wani wazanzibari wote ni wahamiaji hakuna mwenye asili ya halo Zanzibar pekee.
 
Kaka Rais SAMIA alidharau kipindi kile JPM anafuza hawa vijana wawili alidhani JPM ana hila nao kumbe amejua kwamba kumbe JPM alikuwa sahihi kabisa 100%.Mm nakwambia Rais mwenye Akili TIMAMU hawezi kukaa na vilaza wa namna hiyo kama Nape na January ambao wana vichwa vigumu ktk kujifunza.Tatizo hilo ni kubwa kwa viongozi wa CCM ambao wanadhani kila anayeitwa kada wa chama ana AKILI timamu kumbe sivyo.CCM wekezeni kwa vijana wenye AKILI timamu nchi hii ina vijana wasomi mahiri kabisa wengi sana lkn muda wote CCM ni kufeli tu hii ni Aibu kubwa sana.Nchi hii kwa sasa haina ukata wa wasomi CCM badilikeni.
 

NAPE NI TUTUSA, KUBWA JINGA. HANA USHUJAA WOWOTE. ALIROPOKA SABABU HANA AKILI. NDO MAANA AKAJA KUOMBA MSAMAHA. NAPE NI BWEGE FAILURE KABISA.
 

Mnapofurahia Teuzi msherehekee pia Tenguzi.
Aliyeteua katengua. Shida iko wapi jirani?
 
Kama posti zenyewe ndo hizi...ndomaana wakenya wanatudharau....watu tumefungwa na uchawa wa vyama hatupo real kabisa...motherf*
Kivipi mkuu? Kwani CCM sio wezi wauvhaguzi? Nape kakosea nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…