Nape alichoongea ni ukweli mchungu; atabaki kuwa shujaa daima

Tanganyika inatafunwa na Zanzibar uteuzi wa wazir wa mambo ya nje ni wa kimkakati zaidi bado mkuu wa majeshi tu amalize kazi.
 
Salim Ahmed Salim ni Mzanzibari na amewahi kuwa Waziri wa Mambo ya Nje, Tumeshakuwa na mawaziri wa Mambo ya Ndani Kibao Wazanzibari wakiongozwa na Ali Hassan Mwinyi.
Kwahiyo wakati huo Wazir wa mambo ya ndani na WA mambo ya nje wote walikuwa wanatoka Zanzibar?
 
Pole mkuu ndugu zako wameshaondolewa kubali yaishe. Kwataarifa yako Wizara za Mambo ya Ndani na ya Nje ni Wizara za Jamhuri ya Muungano hivyo zinaweza kuongozwa na Mtz wa Tanganyika au toka Zanzibar hivyo Mama hajafanya kosa lolote kubali tu ndugu zako Nape na Makamba hawafai kuongoza Watz.
 
Sasa hata kama hawafai ndio mama atujazie mizanzibar kwenye wizara za Tanganyika? Hebu kuwa serious kidogo mkuu.
 
Sasa hata kama hawafai ndio mama atujazie mizanzibar kwenye wizara za Tanganyika? Hebu kuwa serious kidogo mkuu.
Wizara za Tanganyika ni Tamisemi, Afya, Michezo, Kazi, Habari n.k. Lakini hizo za Mambo ya Ndani, Ulinzi, Nje n.k ni za Jamhuri ya Muungano hivyo Mtz toka bara au Zanzibar anawezahudumu.
 
WEYE MLETA UZI UBONGO WAKO UMEJAA FUNZA HATA HUJUI KAMA WIZARA YA MAMBO YA NDANI NA NJE NI WIZARA ZA JAMHURI YA MUUNGANO WA NCHI 2 ....SASA KITU GANI HAPO CHA KUSHANGAA KUWEKWA WAZANZIBARI???
 
😆😆😆😆
 
Huu upumbavu wa kusema mnadai Tanganyika inabidi udhibitiwe. Wewe kamteue Nape awe mumeo kama unaona kaonewa.
 
Huu upumbavu wa kusema mnadai Tanganyika inabidi udhibitiwe. Wewe kamteue Nape awe mumeo kama unaona kaonewa.
Mkuu suala la uzanzibar halitokani na kutumbuliwa kwa Nape bali linatokana na Bi Tozo kuwajaza wazanzibar wenzake kwenye teuzi chungu nzima hasa zile zinazowahusu watanganyika. Wewe unaona huu ubaguzi anaoufanya Chifu Hangaya ni sahihi au uchawa umekulemea mkuu?
 
Nape alichomoa betri mambo yakawa hadharani wakati wenyewe walitaka mambo yao yaendelee kuwa siri sasa moto umemulipukia mzee wa CCM kupita kwa magori ya mikono..
 
Nape alichomoa betri mambo yakawa hadharani wakati wenyewe walitaka mambo yao yaendelee kuwa siri sasa moto umemulipukia mzee wa CCM kupita kwa magori ya mikono..
Watu hawapendi kuambiwa ukweli hadharani. Walitaka iwe siri yao yamoyoni. Asante Nape kwa kusema ukweli; u.ekuweka huru. Nape sio mnafiq na hajawahi kuwa hivyo.
 
Hatuwezi kurudia makosa kwa kurudia makosa. Yale yalikuwa makosa ya kiufundi aliyofanya Mwl Nyerere na aliomba radhi kwa hilo. Kwanini tuendelee kurudia kufanya makosa wakati ukweli tunaujua?
Aliomba radhi lini kwa teuzi hizi za wazanzibari.
 
WEYE MLETA UZI UBONGO WAKO UMEJAA FUNZA HATA HUJUI KAMA WIZARA YA MAMBO YA NDANI NA NJE NI WIZARA ZA JAMHURI YA MUUNGANO WA NCHI 2 ....SASA KITU GANI HAPO CHA KUSHANGAA KUWEKWA WAZANZIBARI???
Nitajie mtanganyika mmoia tu anayeongoza wizara yoyote huko kwenu Zanzibar.
 
Salim Ahmed Salim ni Mzanzibari na amewahi kuwa Waziri wa Mambo ya Nje, Tumeshakuwa na mawaziri wa Mambo ya Ndani Kibao Wazanzibari wakiongozwa na Ali Hassan Mwinyi.
Haijawahi kutokea mambo ya ndani na ya nje kuongozwa na wazanzibari kwa wakati mmoja. Huyu bitozo kazidi kwa ubaguzi na upendeleo
 
Haijawahi kutokea mambo ya ndani na ya nje kuongozwa na wazanzibari kwa wakati mmoja. Huyu bitozo kazidi kwa ubaguzi na upendeleo
Hili ni tatuzo kubwa sana mkuu. Kumbe hata wewe umrona? Lakini bado kuna machawa hayaelewi
 
Huo upumbavu mnaojazana hauna faida yoyote.
 
Sijui niandike nini,lakini acha tu nione demokrasia ya tanzania imejaa upuuz upuuzi tu
Sio sahihi kusema Nape ni shujaa kwa Yale aliyoyasema kwa Byabato ile ilikuwa siasa tu.Angesema rasmi kama Waziri,au kwenye vikao rasmi tungejua kamaanisha.tujifunze !"ukiwa unaongea ongea sana Kuna siku utaongea Kila ambacho hakisemwi"
 
Wizara za Tanganyika ni Tamisemi, Afya, Michezo, Kazi, Habari n.k. Lakini hizo za Mambo ya Ndani, Ulinzi, Nje n.k ni za Jamhuri ya Muungano hivyo Mtz toka bara au Zanzibar anawezahudumu.
Mzanzibar kutoka Nungwi anaijua Tanganyika ya Tandahimba, Nangulukulu, Naliendele, Namtumbo, etc. Acha masikhara mkuu.

Na je kama hizo wizara haziwahusu mbona wakati wa mijadala ya wizara hizo bungeni mbona akina Mdebwedo hawatoki nje ya bunge?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…