Nape ataka Akaunti ya Deni la Taifa ichunguzwe na iwekwe bayana Fedha hizo zilikopwa na kupelekwa wapi?

angetoa wapi mishahara yenu ilhali biashara kubwakubwa zinazolipa kodi nono zilishakufa na mliendelea kuimba pambio za kumsifu?
 
Turudi kwenye point trillion 20 zimetumikaje
Hutakaa uambiwe na yeyote zilivyotumika, zaidi ya hizi kelele za Nape kuzitumia hizo 20t kutafutia teuzi, na akishapata hiyo teuzi hutakaa umsikie tena akizungumzia hiyo habari, nashangaa unafiki wa viongozi wa CCM bado unawadanganya wajinga wa nchi hii.
 
Kama nakuelewa ila sasa kama Mkapa alikuta deni hilo la 7.4 na madeni mengi yakafutwa kwa ule mpango wa HIPC ilikuwaje ikabaki 8.4? Tusaidie kwenye mahesabu hapo manake naona hakuna usuluhisho?
 
mi hua najiuliza wakenya licha ya ufisadi mkubwa walionao bt wamefanikiwa kuilinda thamani ya shilingi yao kwa dola, je sisi tunakwama wapi?
 
Mkopaji mkuu alikuwa makamu wa rais wa sasa ndio maana kamishina wa 'fire' kipindi hicho alipoenda ulaya na kusaini mkataba bila idhini ya mkopaji mkuu walisimamishwa kazi na baadae kupangiwa majukumu mengine.
 
Fisi akitaka kuanza kutafuna watoto wake anaanza kwanza kuwasingizia kuwa wananuka harufu ya Mbuzi.
 
Usitoke nje ya mada
Tunazungumzia miaka mitano ya Magufuli amekopa trillion 20
Zimetumikaje...????
Mkuu wa sitoki nje ya mada, Bali haya madeni yote yametumika ndivyo sivyo.
Kujianzishia miradi bila kufuata utaratibu ni upigaji na hili jiwe analo la kujibu.
Mada yangu nimelenga kumsahihisha nape kuhusu Deni alilokopa mkapa na kikwete. mkapa alikola dola bilion 1 na sio 9, kikwete alikopa dola bilion 11 na sio 7.
 
Noma sana
 
Wewe huoni? Hizo interchange mnazopita mnadhani zimetolewa bure? Huoni SGR,huoni NHPP,kweli hutuoni au tunajitoa ufahamu tu Magufuli kafanya parefu Sana na panaonekana hakuna aliyekuwa na huo uthubutu,hili Deni la Magufuli nalipokea kwa mikono miwili na ninafurahi kulipa na wajukuu zangu watamalizia kwa amani maana alikopa kwa faida yetu na kizazi chetu.
Usitoke nje ya mada
Tunazungumzia miaka mitano ya Magufuli amekopa trillion 20
Zimetumikaje...????
 
mi hua najiuliza wakenya licha ya ufisadi mkubwa walionao bt wamefanikiwa kuilinda thamani ya shilingi kwa dola, je sisi tunakwama wapi?
Sisi ni mithili ya mateja wanaovuta madawa ya kulevya. Tukiwa hatuna alosto tuna mikakati na akili nyingi sana lakini tukiwa na alosto tunaweza weka rehani hata utu wetu.

Hii inadhihirika pale tunapotaka kukopa tunahaha kiasi kwamba mkopeshaji anakuwa na jeuri ya kuweka terms zozote anazotaka na sisi tusibishe. Na hii ikiwemo kujaza soko letu na bidhaa za nje kulinganisha na zile tunazosafirisha sisi kupelekea kupotea kwa thamani ya pesa yetu.

Mfano mdogo tu, ni swala la CORONA umeona jinsi gani tumebadilisha muelekeo ghafla kutoka kutoamini uwepo wa CORONA mpaka kuwa waumini wa kuu wa chanjo hii yote ni ili kupata tu fedha za mikopo na misaada. Our inconsistency is what costs our economy. Hatuna dira moja.

Kenya wenzetu wata compromise vitu vyote lakini sio soko lao kwa mlingano wa import vs export.
 
Kangi Lugola alitumbuliwa na Magufuli kwa kosa la kuingilia kazi ya waziri wa fedha Dk Mpango kwenda kukopa nje.

Kwenye serikali ya awamu ya tano aliyekuwa anaruhusiwa kukopa kwa niaba ya nchi ni waziri wa fedha tu.

Kwa hiyo huo uongo wa kina Nape hauna mashiko na uzuri Dk Mpango bado yupo
 
Hapo ndio kwenye mchawi wetu.
Hatu-export kabisa na ndio maana shillingi inazidi kuporomoka.
Siku tukiweza kudhibiti shilingi basi tutakuwa tumelipa Deni pakubwa Sana.
Fikiria tu tukiweza kuifanya shillingi yetu ikawa 1000 kwa dola 1, basi Deni la taifa litakuwa trillion 25 badala ya trillion 64
 
Lisu alimchana Magufuli mchana kweupe na hata alipompiga risasi bado alimwambia ukweli akiwa mzima
 
mkuu kwa hiyo kipindi shilingi yetu ilipokua sawa na kenya tulikua tunaexport sana?
 
Mkuu nashukuru sana kwa analysis nzuri uliyofanya.Nape sijui hata kama anajua maths.Hivi vitu ni vya wataalam wa model za econometrics. Nape anaamini kuwa kupiga kelele sana ataonekana anafahamu.Nape sijui hata kujumlisha na kutoa anafahamu.Na hajui kuwa anajenga uadui na watu wengi zaidi.
 
Unatafutwa uteuzi wa uwaziri hapo, hao ndio MaCCM., TEUZI , TEUZI ndio kila kitu kwao.
Maisha mtaani ni Magumu mno, hawajari, Na hakuna anaezungumzia.

MaCCM yanastahili kufukiwa yakiwa hai.
 
Nadhani sasa yeye na wengine wataelewa hii summary. Thanks mkuu Memento
 
Anyway, nimemkumbuka Nape siku ile aliyoenda pale ikulu baada ya kuomba msamaha, alipopiga picha na Magufuli akiwa ameweka mikono yake karibu na paji la uso kama vile anamsujudia mwanadamu yule anayemuita leo mwizi.
Pale ndo alikuwa anaenda kummaliza sasa!! tena nyie mshukuruni Nape alifanya kweli!!! alimsumisha huyu jamaa pale pale kwenye salamu za msamaha! vinginevyo mngekuwa bado mnaosha vyoo vya stand!

Nape ni mafia wa miaka mingi ndani ya ccm!! Diplomatic asssassinator!! usimuone vile! sasa alikuwa ana mjaribu maksudi tu!! kumpata jiwe kirahisi ilikuwa ni jambo la''kumlaumu hadaharani km vile alivo fanya Nape!

tena huyu! Nape alipanga na kujua wazi kuwa anadukuliwa na maofisa usalama wa Ikulu! na udukuzi ule mwenda zake ataujua tu!

So jiwe ata react weee!! .. kutangazia Umma!! Umma wote km wewe unajua Nape ana makosa... kwa hiyo Nape ili ammalize Rais! ilikuwa waonane macho kwa macho! kivipi?? ni kupitia msamaha tu!!!

kwa hiyo jiwe alivokuwa mweupe na kiburi cha uzima!! si kaukubali msamaha!! na kupeana mikono? , ndo pale pale jiwe kwishne vile! CCM ni Mafia hatare!! jiwe alikufa siku ileile!!aliyoonana na Nape!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…