Na bado. SI daily wanakopa ila hawana strategic planning za kulipa zaidi ya kuwakandamiza wananchi kwenye tozo!
Mkuu opposition yenyewe ya kweli imebakia cdm ambao kwa sasa bado wapo mahakamani kila kukicha.Which is healthy and good for the common mwananchi. Ni katika mazingira kama haya opposition inatakiwa ku-seize opportunity.
Tatizo hata wananchi wenyewe walirogwa wakarogeka aiseeh, Ni vichwa vya wendawazimu, uchawi wa CCM unatafuna akili za Watanzania!Hii nchi itauzwa kwa kushindwa kulipa madeni
Hata sisi wana mkojani angalau tunatakataNa bado. SI daily wanakopa ila hawana strategic planning za kulipa zaidi ya kuwakandamiza wananchi kwenye tozo!
Nape pia alichangia hicho kificho (japo siamini kama kiliwepo) kwa kuzuia Bunge live, kubana magazeti ambavyo vyote hivyo ni agents za uwazi; halafu anakuja kuleta unafiki hapa.Mbunge wa MTAMA Nape Nnauye amesema deni la Taifa limekuwa kwa kasi sana ndani ya miaka 5 iliyopita na kusema japo Serikali inadai ni himilivu hali sio nzuri...
Nina bahati kubwa sana aisee wazee wangu wote hakuna mwenye vinasaba vya ccm.Tatizo hata wananchi wenyewe walirogwa wakarogeka aiseeh, Ni vichwa vya wendawazimu, uchawi wa CCM unatafuna akili za Watanzania!..
Ile kauli ya Deni linahimilika wanalitumia wanaccm mafisadi kujinufaisha na pesa za mikopo ambazo tunalipa sisi walala hoiMbunge wa MTAMA Nape Nnauye amesema deni la Taifa limekuwa kwa kasi sana ndani ya miaka 5 iliyopita na kusema japo Serikali inadai ni himilivu hali sio nzuri...
Kuchukua mikopo kwa siri ni Dalili tosha kuwa ni wiziKama yeye hakuwa mwizi kwanini alikuwa akichukua mikopo kwa siri?? Mbaya zaidi alikuwa akifanya siri kubwa ktk matumizi ya madeni yale.
Miradi yote alituaminisha kuwa zilikuwa zinatekelezwa kwa fedha za ndani. Acha waanze kuumbuana wenyewe.
Watajuanaccm mnang'atana wenyew kwa wenyew......kipindi cha uhai wa mzee mlikua mnaogopa hata kupiga chafya mbele wake.........huo ndo tunaita unafiki
Saa mbovu saa nyingine husema kweliPamoja na kwamba Nape ni mnafiki, lakini kasema ukweli kuwa dhalimu alikuwa anakopa kiboya ili kusaka sifa za kijinga. Uchunguzi ufanyike ili ifahamike dhalimu alipeleka wapi hela na genge lake la sukuma gang.
Mbunge wa MTAMA Nape Nnauye amesema deni la Taifa limekuwa kwa kasi sana ndani ya miaka 5 iliyopita na kusema japo Serikali inadai ni himilivu hali sio nzuri....
Mbunge wa MTAMA Nape Nnauye amesema deni la Taifa limekuwa kwa kasi sana ndani ya miaka 5 iliyopita na kusema japo Serikali inadai ni himilivu hali sio nzuri...
Kwenye mpira kocha anaweza kuwa mnafiki kuwa anaiogopa timu ili aimalize kabla kipindi cha pili hakijaisha halafu baada ya ishindi mashabiki wanaanza kuiponda timu iliyofungwa.ccm mnang'atana wenyew kwa wenyew......kipindi cha uhai wa mzee mlikua mnaogopa hata kupiga chafya mbele wake.........huo ndo tunaita unafiki