Nape ataka Akaunti ya Deni la Taifa ichunguzwe na iwekwe bayana Fedha hizo zilikopwa na kupelekwa wapi?

Nape ataka Akaunti ya Deni la Taifa ichunguzwe na iwekwe bayana Fedha hizo zilikopwa na kupelekwa wapi?

$33,700, 000,000 * 2,310 = almost 78 trillions shillings.


Na bado. SI daily wanakopa ila hawana strategic planning za kulipa zaidi ya kuwakandamiza wananchi kwenye tozo!
 
wabunge wanapaswa kutimiza wajibu wao ipasavyo wa kuisimamia Serikali.
naamini awamu hii mambo yataenda sawia.
 
Which is healthy and good for the common mwananchi. Ni katika mazingira kama haya opposition inatakiwa ku-seize opportunity.
Mkuu opposition yenyewe ya kweli imebakia cdm ambao kwa sasa bado wapo mahakamani kila kukicha.
 
Hii nchi itauzwa kwa kushindwa kulipa madeni
Tatizo hata wananchi wenyewe walirogwa wakarogeka aiseeh, Ni vichwa vya wendawazimu, uchawi wa CCM unatafuna akili za Watanzania!

Deni linazid kuwa kubwa, tozo zinapigwa Kila Kona , wananchi wa nchi haswa wadanganyika hawaelewi kabisaaah!

Utakuta kanga, kofia, viremba na ma t-shirt yamevaliwa na watu wa Kila lika yanaimba CCM mbele kwa mbele, yanasaidia kuiba kura yanaeneza uongo wa kisiasa!

KWA KWELI ACHA NCHI IUZWE TU, MAANA INAVUMILIA LAKINI IMELEMEWA HAISONGI!
 
Mbunge wa MTAMA Nape Nnauye amesema deni la Taifa limekuwa kwa kasi sana ndani ya miaka 5 iliyopita na kusema japo Serikali inadai ni himilivu hali sio nzuri...
Nape pia alichangia hicho kificho (japo siamini kama kiliwepo) kwa kuzuia Bunge live, kubana magazeti ambavyo vyote hivyo ni agents za uwazi; halafu anakuja kuleta unafiki hapa.

Hilo deni lililokua sana miaka mitano alipaswa adadavue ongezeko kiasi gani lilisababishwa na riba zilizotokana na mikopo iliyokopwa na Kikwete, Mkapa na Mwinyi kabla ya kumlaumu JPM.
 
Tatizo hata wananchi wenyewe walirogwa wakarogeka aiseeh, Ni vichwa vya wendawazimu, uchawi wa CCM unatafuna akili za Watanzania!..
Nina bahati kubwa sana aisee wazee wangu wote hakuna mwenye vinasaba vya ccm.
 
Wanataka waanze kuchunguzana wakati yanafanyika mbona walikaa kimya? CCM msiwaamini kabisa.
 
Mbunge wa MTAMA Nape Nnauye amesema deni la Taifa limekuwa kwa kasi sana ndani ya miaka 5 iliyopita na kusema japo Serikali inadai ni himilivu hali sio nzuri...
Ile kauli ya Deni linahimilika wanalitumia wanaccm mafisadi kujinufaisha na pesa za mikopo ambazo tunalipa sisi walala hoi
 
Kama yeye hakuwa mwizi kwanini alikuwa akichukua mikopo kwa siri?? Mbaya zaidi alikuwa akifanya siri kubwa ktk matumizi ya madeni yale.

Miradi yote alituaminisha kuwa zilikuwa zinatekelezwa kwa fedha za ndani. Acha waanze kuumbuana wenyewe.
Kuchukua mikopo kwa siri ni Dalili tosha kuwa ni wizi
 
Pamoja na kwamba Nape ni mnafiki, lakini kasema ukweli kuwa dhalimu alikuwa anakopa kiboya ili kusaka sifa za kijinga. Uchunguzi ufanyike ili ifahamike dhalimu alipeleka wapi hela na genge lake la sukuma gang.
Saa mbovu saa nyingine husema kweli
 
Jamaa lilikua pigaji kichizi,huku linajificha nyuma ya wamachinga.

Anakopa matrilioni huko nje akija hadharani Hana aibu kabisa anasema nchi hii Ni tajiriiii saaana,sisi ni donor kantreee.
 
Mbunge wa MTAMA Nape Nnauye amesema deni la Taifa limekuwa kwa kasi sana ndani ya miaka 5 iliyopita na kusema japo Serikali inadai ni himilivu hali sio nzuri...
 
Nape anasema Deni ni trillion 64, lakini nakumbuka wiki mbili nyuma tuliambiwa deni ni trillion 78. Kipi ni kipi
 
ccm mnang'atana wenyew kwa wenyew......kipindi cha uhai wa mzee mlikua mnaogopa hata kupiga chafya mbele wake.........huo ndo tunaita unafiki
Kwenye mpira kocha anaweza kuwa mnafiki kuwa anaiogopa timu ili aimalize kabla kipindi cha pili hakijaisha halafu baada ya ishindi mashabiki wanaanza kuiponda timu iliyofungwa.

Kwenye maisha kila binadamu ana unafiki. Hata wewe inawezekana ukikutana na Nape utamnafikia tu kwa kutomweleza unafikiri kuwa yeye ni mnafiki.
 
Back
Top Bottom