secret file
JF-Expert Member
- Sep 10, 2019
- 5,843
- 8,637
Alafu ikichunguzwa!!!??
hajui kwamba Baraza la Mawaziri ndio serekali yenyewe?
hajui kwamba Baraza la Mawaziri ndio serekali yenyewe?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nape anataka kumfanya nini makamu wa rais Dr Mpango ambaye alikuwa waziri wa fedha?Mbunge wa Mtama Nape Nnauye ametaka ufanyike uchunguzi wa akaunti ya deni la taifa na iwekwe bayana kila senti ilikwenda wapi na ilifanya nini?
Source: ITV habari
Mbunge wa Mtama Nape Nnauye ametaka ufanyike uchunguzi wa akaunti ya deni la taifa na iwekwe bayana kila senti ilikwenda wapi na ilifanya nini?
Source: ITV habari
Nape anataka kumfanya nini makamu wa rais Dr Mpango ambaye alikuwa waziri wa fedha?
Hawa akina nape wametumwa🤣🤣Mpka 2025 Legacy Ya Meko Sijui Itakuwa Kwenye Hari Gani
Nawaza kwa sauti tu:Mbunge wa MTAMA Nape Nnauye amesema deni la Taifa limekuwa kwa kasi sana ndani ya miaka 5 iliyopita na kusema japo Serikali inadai ni himilivu hali sio nzuri
Nape ameongeza kuwa Serikali ya awamu ya 5 ilikopa mikopo mingi huku asilimia 40 ya mikopo hiyo ikiwa ni ya kibiashara hivyo kuwa na riba kubwa
Ameongeza kwa kutaka uchunguzi ufanyike jjuu ya mikopo hiyo na ilinganishwe na thamani ya miradi ambayo mikopo hiyo ilifanya
Ameipongeza Serikali ya awamu ya 5 kwa kuweka wazi mkopo wa 1.3 trilioni iliyokopa kitu ambacho hakikuwepo kipindi kilichopita na kutaka uwazi huu uigwe
Mbunge wa MTAMA Nape Nnauye amesema deni la Taifa limekuwa kwa kasi sana ndani ya miaka 5 iliyopita na kusema japo Serikali inadai ni himilivu hali sio nzuri
Nape ameongeza kuwa Serikali ya awamu ya 5 ilikopa mikopo mingi huku asilimia 40 ya mikopo hiyo ikiwa ni ya kibiashara hivyo kuwa na riba kubwa
Ameongeza kwa kutaka uchunguzi ufanyike jjuu ya mikopo hiyo na ilinganishwe na thamani ya miradi ambayo mikopo hiyo ilifanya
Ameipongeza Serikali ya awamu ya 5 kwa kuweka wazi mkopo wa 1.3 trilioni iliyokopa kitu ambacho hakikuwepo kipindi kilichopita na kutaka uwazi huu uigwe
Kama unafahamu alizopiga zilipo tujuze zirudi serikalini,wacha manenoShujaa wenu alikuwa mpigaji wa kutisha huku akijivika kilemba cha uzarendo
Kwani huyu Nape ile Taarifa ya BOT iliyoagizwa iandaliwe na Mama hajaiona? Kama ameiona haiamini?Mbunge wa Mtama Nape Nnauye ametaka ufanyike uchunguzi wa akaunti ya deni la taifa na iwekwe bayana kila senti ilikwenda wapi na ilifanya nini?
Source: ITV habari
Siyo uchonganishi ,ukichunguza madeni ya nyuma lazima umuhoji Dr MpangoUsilete uchonganishi; Nape ametoa hoja ya msingi na uchunguzi huo lazima uanzie awamu zote za nyuma. Nakumbuka enzi za Kikwete na Waziri wake wa fedha Mustapha Mkullo walifloat bond in foreign currency na fedha zile hazikujulikana zilitumika kwa miradi gani!! Zitto alijaribu kuulizia akazibwa mdomo!!! Uchunguzi ukifanyika professionally tutajua mambo mengi yanayokwamisha maendeleo yetu.
Huyo alipaswa kua jela KWA Sasa,ni JPM tu alimstahi. In short hana Morality ya kuongea chochote na ndo Mana alichagua kukaa kimya.Mimi nadhani bora ungetaka uthibitisho wa hoja zake badala na wewe kuvurumisha maneno ya kwenye kanga.
Tuhuma alizotoa ni nzito zinahitaji kuwekwa wazi zaidi kwa vielelezo.
Unatuuliza sisi ili iweje nyie mchwa na nzige? Professor Assad alishaweka wazi wizi wenu. Kajadili huko kivyenu.Nape anataka kumfanya nini makamu wa rais Dr Mpango ambaye alikuwa waziri wa fedha?
Nape anataka kumfanya nini makamu wa rais Dr Mpango ambaye alikuwa waziri wa fedha?