Nape amenusa upigaji ndani ya serikali na ccm mpya ya akina PolepoleCccm janga la taifa tunataka katiba mpya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nape amenusa upigaji ndani ya serikali na ccm mpya ya akina PolepoleCccm janga la taifa tunataka katiba mpya
Bora alijikalia kimya kuliko angesema Jiwe na genge lake wakamnywa damu, bora nini?Jiwe alikuwa kidume cha nguvu! Huyu alikunjia mkia matakoni! wakati ule! asingekohoa Ona mishipa ya shingo ilivyokakamaa sasa
Kwa nini hakuongea mapema wakati mikopo ikiwa inakopwa? Leo anakuja kulalamika alitakiwa aachie ngazi kuonesha kutokukubaliana.Wera wera wera nafuu umeongea NAPE kuliko wale wakusfu pambio!!!
Ujue kuna madudu nyuma ya pazia!!!
Kwa nini wasijadili kwenye vikao vya chama cha mapinduzi huko? Ili wakipata majibu wayajadili huko huko, kwa sababu akiliweka wazi hivi bado hata ikijulikana itafichwa tu kama ambavyo walitaka bunge lijadili gizani, hawakutaka bunge liwe LIVE, ilihali wanasema wao ni "wawakilishi wetu"Nape anataka kumfanya nini makamu wa rais Dr Mpango ambaye alikuwa waziri wa fedha?
Unachukua mkopo kwa siri, unatumia kwa siri, halafu mbele ya wananchi unawaambia nchi hii ni tajiri sana, mabeberu hatuwataki.Kuchukua mikopo kwa siri ni Dalili tosha kuwa ni wizi
Pesa nyingi zilienda Vote No 20Unachukua mkopo kwa siri, unatumia kwa siri, halafu mbele ya wananchi unawaambia nchi hii ni tajiri sana, mabeberu hatuwataki...
Nape anapayuka tu kutafuta attention ya bunge lililopoteza mwelekeoKwa nini wasijadili kwenye vikao vya chama cha mapinduzi huko? Ili wakipata majibu wayajadili huko huko, kwa sababu akiliweka wazi hivi bado hata ikijulikana itafichwa tu kama ambavyo walitaka bunge lijadili gizani, hawakutaka bunge liwe LIVE, ilihali wanasema wao ni "wawakilishi wetu"
Hao ndio CCM, wameona bunge limepoa halifuatiliwi na mtu, wameamua kipiga kelele tuwasikie.
Kweli kabisa, maana tulikuwa tunaambiwa maendeleo maendeleo yanayofanyika yanatokana na pesa zetu za Kodi na wakaanza kutangaza mapato kila mwezi kwa mbwembwe sana, sasa Deni linatoka wapi maana hatukuwahi kuambiwa Kuna mkopo hata siku moja zaidi ya kupewa maneno ya kojuha tu.Mbunge wa MTAMA Nape Nnauye amesema deni la Taifa limekuwa kwa kasi sana ndani ya miaka 5 iliyopita na kusema japo Serikali inadai ni himilivu hali sio nzuri...
Wanafiki wakubwa hawa. Kesho utamuona kageuka kama vile sio yeye kabisaMbunge wa MTAMA Nape Nnauye amesema deni la Taifa limekuwa kwa kasi sana ndani ya miaka 5 iliyopita na kusema japo Serikali inadai ni himilivu hali sio nzuri...
Tushauzwa tayariDeni la Taifa limefikia Trillions 77 hii ni kutoka katika ripoti ya BoT.
Nape ni mnafiq mkubwa, hana msimamo, anachofanya ni ubinafsi wa kupambania tumbo lake tu.Nape asisahau waliokuwa viongozi waandamizi wa hiyo serikali anayoilaumu ndio hawa waliopo kwenye serikali mpya anayojipendekeza kwao ili apate teuzi...
Hajawahi kuwa mkweli na hii ndiyo sifa yake kuu.Nape ni mnafiq mkubwa,hana msimamo, anachofanya ni ubinafsi wa kupambania tumbo lake tu.
Tanzania haijawahi ku issue bonds kwenye masoko ya mikopo ya kimataifa kama vile EuroBond.
Mbunge wa MTAMA Nape Nnauye amesema deni la Taifa limekuwa kwa kasi sana ndani ya miaka 5 iliyopita na kusema japo Serikali inadai ni himilivu hali sio nzuri
Nape ameongeza kuwa Serikali ya awamu ya 5 ilikopa mikopo mingi huku asilimia 40 ya mikopo hiyo ikiwa ni ya kibiashara hivyo kuwa na riba kubwa
Ameongeza kwa kutaka uchunguzi ufanyike jjuu ya mikopo hiyo na ilinganishwe na thamani ya miradi ambayo mikopo hiyo ilifanya
Ameipongeza Serikali ya awamu ya 5 kwa kuweka wazi mkopo wa 1.3 trilioni iliyokopa kitu ambacho hakikuwepo kipindi kilichopita na kutaka uwazi huu uigwe
View attachment 2003648