TataMadiba
JF-Expert Member
- Feb 7, 2014
- 9,866
- 5,747
Sasa jamani tulitegemea aseme nini wakati chama chake kinaamini kwenye serikali mbili na ufisadi?Tumsamehe bure ila tumuelimishe tu.
Hii siyo hoja. Kavae gauni lako jekundu uwahi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa jamani tulitegemea aseme nini wakati chama chake kinaamini kwenye serikali mbili na ufisadi?Tumsamehe bure ila tumuelimishe tu.
Nape ni vuvuzela, unategemea mtu aliye pata div four awe na mchango wa maana kwenye hili taifa??
"Mantiki ni kuzuia Bunge Maalumu kunyang'anya madaraka ya wananchi, yaani "act of popular sovereignty". Wataalamu wa masuala ya Katiba wanaeleza kuwa madaraka ya Bunge Maalumu katika mazingira haya ni kuboresha Rasimu ya Katiba.
"Kwa mujibu wa Kifungu cha 25(1) cha Sheria ya Mabadiliko ya Katiba, Sura ya 83, Bunge Maalumu limepewa madaraka ya kujadili na kupitisha masharti ya Katiba, kutunga Sheria ya Masharti ya Mpito na Masharti yatokanayo na kabla ya kuanza kazi hiyo, Bunge Maalumu litapitisha Kanuni za Bunge Maalumu ambazo zitaongoza utekelezaji wa mamlaka ya Bunge Maalumu."
Logical question
Umeipenda kwa kutoju kasema nini. Na kama Kamati ya WARYOBA ndiyo kila kitu, kwa nini Bunge la Katiba kimeundwa?Hii nimeipenda sana
tume ilihoji zaidi ya watu milioni saba.... Wabunge watabadilisha kwa mawazo ya nani...
Hii siyo hoja. Kavae gauni lako jekundu uwahi.
umeipenda kwa kutoju kasema nini. Na kama kamati ya waryoba ndiyo kila kitu, kwa nini bunge la katiba kimeundwa?
Safi sana Mkuu, na warejee miswada ya serikali ambayo imekuwa ikiwasilishwa bungeni , siyo yote inayopita kama ilivyowasilishwa na wakati mwingine hukataliwa kabisa na kurudishwa. Nawashangaa sana wanaoabudu rasimu wakati ile ni sawa na mswada tu."Maboresho maana yake ni kubadili. Ukiwa
na nyumba ya vyumba vinne na kuiboresha
kwa kuweka chumba kimoja si umeibadili?"
Tumsaidie Kiswahili hapa...Jaji anasema si kubadili hoja ya msingi, ukiwa na vyumba vinne ukafanya kimoja umeboresha lakn nyumba ni ile ile..............kubadili ni kufanya nyumba iwe say kiwanja cha mpira etc
Na Kama unafikiri Kamti ya Waryoba ndiyo kila kitu unafikiri Bunge la Katiba limeundwa la nini?
usisahau kamati ya warioba ndiyo mchakato wenyewe wa wananchi, nawewe nikuulize, kama kuna bunge kwa nini tuwe na kura ya maoni?
kwa hiyo wewe uko pamoja na yule mvuta sigara namba moja Tanzania(WARYOBA). Yule kalewa pesa za walipa kodi na kujiona yeye ndiyo kila kitu kwenye Katiba.
Tumia lugha ya staha sijamtukana mtu na usitegemee nitakutukana kama huna comment ya maana bora ungeiacha.Usidhani tabia yako ni sawa na tabia za wengine badilika positively,hata kama inaumiza lakini ukumbuke mabadiliko hayaepukiki ni bora uyapokee sasa kuliko yakukute haujayapokea utaumia mara mia.
Kama Bunge linaweza kufanya yote hayo (Ikiwa ni pamoja na kutunga KATIBA kwa maana ya kutozingatia mawazo ya Wananchi); kamati ya Rasimu ya Katiba iliundwa kufanya nini????
anachokisema warioba ndiyo maoni ya watz,tume ilikuwa field na ndicho kilichosemwa! huyo nepi yeye ni vuvuzela tu,anabwabwaja ili mkono uende kinywani tu!