Nape: Kampuni za simu haziibi vifurushi vya intaneti vya wateja

Nape: Kampuni za simu haziibi vifurushi vya intaneti vya wateja

Hii kitu nilishawahi kuiandikia uzi hapa nakumbuka miaka miwili au mitatu iliyopita.

Na nilielezea vema ni kwa namna gani hizi simu za kisasa especially hizi cheap brand kama Tecno, Infinix,itel, na zinginezo namna zinaconsume bundle bila sisi kujua.

Niliwaelezea vema kuwa ndani ya hizi simu huwa ukishaanza kutumia baada ya kununua kuna app huwa zinaji install na kuanza kurun back ground data collection na kuzituma pale unapoweka bundle au kuwasha data.

Mimi nilitafiti sana na nilitumia mita ya simu kustudy data use. Kiwango cha bundle kilikuwa kinakwenda sawa na ujazo nilionunua ila kwa kasi isiyo ya kawaida.

Hili tatizo limeshakemewa pale South Africa na walitishia kuzikataza simu hizo kuingizwa kule kwasababu kupandikiza secret apps zinazoconsume data kwa siri kwenye simu za watu na kutumia taarifa binafsi kugenerate business information kwaajiri ya makampuni yanayotengeneza bidhaa mbali mbali.

Nimekuwa nikitrack bundle uses na kitu kilichotokea ni kuwa huwa nikipata sms ya kunambia bundle limeisha nikicheki mita ya simu nakuta inasoma bundle limesha pia kama kile kiwango cha bundle nililonunua kilivyoisha.

Mfano nikinunua 2GB then kabla sijajiunga kwanza naiset mita ya simu isome 2GB kwenye Total bundle then ninapoanza kutumia inanisomea ile ninayotumia huku ile total ikipungua kulingana na ninavyotumia .... Ikifika tu 1.9GB utaona sms inaingia bundle yako imeisha , nikirudi kwenye mita naona pia 2GB used.

So hapo ndipo nikajua simu za sasa zinakuja na apps zinazotumia data kwenye background bila sisi kujua. Na ndipo hapo shida inapoanzia kwasababu ya kutokujua tunabakia kulaumu makampuni ya simu na kuona yanatuibia ila kiukweli majizi halisi ni hizi simu in the background...... Zinakwapua data kisiri sana. Na hizo apps ni bug apps maana hazionekani zimefichwa sana.
 
Hii ni wakati nawatathimini tigo
Screenshot_20220215-225054.jpg
 
Mimi ni mmoja wapo wa muhanga huo niliweka buku na cjajiunga chochote chakushangaza nangalia salio nakuta 700 nikawapigia cm customer care kutoa malalamiko yangu kila nikiwaelewesha wanakuwa wagumu kuelewa yaani awakubali ukweli halisi ilibidi niwaambie kama vp nahama mtandao,majibu waliyonipa nilishangaa sana.eti tafuta wengine 99 ili muwe muwe 100 muhame kabisa yaan we acha tu
 
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye amesema Bungeni kuwa Serikali inaendelea kuchambua malalamiko ya matumizi ya Bundle kwenye simu...
Ile wizara ya vifurushi imetolewa au!?
 
Unajiuga na bando la mwezi la internet siku ya pili Unajiuga na muda wa kupiga mitandao yote kwa wiki. airtel waiba kufuru shila chako cha mwezi unabridged na mb kidogo toka kufuru shila cha kupiga mitandao yote,.Huu ni wizi. Wakati Magufuli wasingeweza kutuibi hivi. Inauma sana.
 
Kwa ambao mnapenda kujiridhisha nadhani itabidi mfanye utafiti pia hapa. Nawawekea app mojawapo ambayo inafanya kazi ya kumonitor data na kukupa ripoti ya natumizi kisha uone kama vitapishana sana na ile text ya mtandaoni.
 
Unajiuga na bando la mwezi la internet siku ya pili Unajiuga na muda wa kupiga mitandao yote kwa wiki. airtel waiba kufuru shila chako cha mwezi unabridged na mb kidogo toka kufuru shila cha kupiga mitandao yote,.Huu ni wizi. Wakati Magufuli wasingeweza kutuibi hivi. Inauma sana.
Bro shida ni simu au ni wewe unatype huku unaendesha..... Hebu soma ulichotuandikia hapa haka kinaeleweka au kusomeka....
 
mimi ni mmoja wapo wa muhanga huo niliweka buku na cjajiunga chochote chakushangaza nangalia salio nakuta 700 nikawapigia cm customer care kutoa malalamiko yangu kila nikiwaelewesha wanakuwa wagumu kuelewa yaani awakubali ukweli halisi ilibidi niwaambie kama vp nahama mtandao,majibu waliyonipa nilishangaa sana.eti tafuta wengine 99 ili muwe muwe 100 muhame kabisa yaan we acha tu
Customer care wa siku hizi huwa wanamajibu ya dharau sana as if wao ndio wanajilipa mishahara. Hawajui hizi buku buku ndio zinatoa hela yao. Mimi huwa nawarekodi akinijibu vibaya nairekodi kisha nawasiliana na Wahusika au napost jf hapa uone kama haijawa Viral na kumletea mhusika balaa.
 
Watanzania wengi hawajui matumizi sahihi ya bando. Kuna watu wanaruhusu apps kuji-update na ku-run at the background hivyo kupelekea bando kutumika.
Kweli wengi ni mbumbumbu kwenye matumizi ya smartphone.
 
mimi ni mmoja wapo wa muhanga huo niliweka buku na cjajiunga chochote chakushangaza nangalia salio nakuta 700 nikawapigia cm customer care kutoa malalamiko yangu kila nikiwaelewesha wanakuwa wagumu kuelewa yaani awakubali ukweli halisi ilibidi niwaambie kama vp nahama mtandao,majibu waliyonipa nilishangaa sana.eti tafuta wengine 99 ili muwe muwe 100 muhame kabisa yaan we acha tu
Haa pole kwa jibu hilo, mie niliwahi wafuata kabisa nikamwambia embu kagua simu yangu alivyomaliza akaninambia haoni kilichomaliza kifurushi, nikamwambia kwasababu watu wanaifahamu ngoja ikawe simu ya mezani nikatoka hapo city.
 
Back
Top Bottom