Full Blood Picture
JF-Expert Member
- Jan 7, 2021
- 2,223
- 3,961
Nape ni customer care wa kampuni za simu nini? au ndo swaga anasosema msukuma.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa mtu mwingine anawezaje kuingia tu kwenye hotspot yako na kula bundle?!
Hapo sasa!nae ndo wale waleKwa hiyo tunajiibia wenyewe
Kwani Angesemaje Huyu?Kwa hiyo tunajiibia wenyewe
Ndiyo Urefu Wa Kamba Sasa HiviKeshavimbishwa tumbo, ameanza kujamba jamba
Waziri wa bando
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye amesema Bungeni kuwa Serikali inaendelea kuchambua malalamiko ya matumizi ya Bundle kwenye simu.
Amefafanua, "Malalamiko kwamba kuna Bundle zinawekwa kwenye Simu, zinatumika bila Mtumiaji kuzitumia yamekuwepo, yamefikishwa Mamlaka husika na Uchambuzi umefanyika. Matokeo yanaonesha hakuna wizi uliotokea, isipokuwa kuna tatizo la matumizi ya simu za kisasa".
Ameongeza, "Matatizo hayo yamejikita kwenye maeneo mawili; 1) Hizi simu za kisasa wakati mwingine hata ukiwa hutumii kuna baadhi ya Applications zinaendelea kufanya kazi nyuma ya simu. 2) Simu hizi unaweza kuweka Bundle lako ukawasha 'Hotspot' kinachoruhusu mtu mwingine kutumia Data uliyonayo".
Kupitia Twitter Waziri Nape ameandika.
"YEYOTE ANAYEAMINI KAIBIWA KIFURUSHI KABLA HAJATUMIA AKAKUTA KIMEISHA, ALETE USHAHIDI TUTAFANYA UCHAMBUZI KWA KUTUMIA VIFAA VYA KISASA NATUTAWEKA HADHARANI KUONYESHA TATIZO LILIPO. Lakini mpaka leo malalamiko yote yaliyopokelewa tatizo limekutwa ni uelewa wa matumizi ya simu JANJA"
Kwani wizi unafanyika kijinga namna hio? Yeye anaweza ku trace back-end wanafanyaje hao wenye makampuni ya simu?

Hapo ndo kituko hotsport ni mchakato mkubwa kidogo mpaka uweze kula bando ya mtuSasa mtu mwingine anawezaje kuingia tu kwenye hotspot yako na kula bundle?!
Tena kwa wale ambao mna accept vitu tu kiholela..kimsingi Nape yuko sahihi, Mtafute Maxence Melo atakuelezea 'how it works'!
Mimi nilisema humu, ukiwa Msukuma usitumie smartphone mtatuletea matatizo kila siku kulalamika mnaibiwa data. Wasukuma mtumie simu za vitochi kwa miongo 4 ijayo, kisha mtakuwa mmejifunza nini maana ya simu janja.
Form four ya 29Huyo hana analojua, yupo hapo sababu ya godfather
Kwani wizi unafanyika kijinga namna hio? Yeye anaweza ku trace back-end wanafanyaje hao wenye makampuni ya simu?
Wizi unaofanyika ni wa kuuziwa bundle feki tu. Unanunua 1GB ila kimsingi umepewa 600MB wanakutapeli kwa style hio. Kwa tuliopita pita kwenye IT tunajua tu ni namna gani unaweza cheza na lines of Command to ili upate matokeo unayotaka kwenye GUI.
Ukitaka kuamini kuna wizi tumia 1GB ya Zantel na ya Halotel halafu uone zitadumu muda gani? Play same content from youtube with same quality.
Ndio nimewaambia hawa jamaa wanacheza na lines of command tu! Ni condition statements tu wanacheza nazo. Huwezi ukakaa ujue haya hata uwe Samia Suluhu ila watu wa IT wanajua huu mchezo.Halotel wamekuwa wezi sana sikuhizi, unaweka Gb 5, unazunguka kidogo online ukija kuangalia unakuta Mb200