Nape: Kampuni za Simu haziongezi bei za vifurushi bila idhini ya TCRA

Nape: Kampuni za Simu haziongezi bei za vifurushi bila idhini ya TCRA

January Makamba

Mwigulu Nchemba

Na nape wale wapo kwenye hzo nafasi kimkakati na sababu maalum na wamewekwa na mtu maalum kwa ajili ya maslahi yao binafsi wazee wa 10% hapo hatutoboi maana wote wapo sehemu nyeti katika taifa tumekwisha.
 
Ndugu zangu sina chuki,wivu wala sina ugomvi na mh.Nape,lakini ukweli sijaona chochote ambacho amefanya chenye maana ambacho kina manufaa kwa watanzania zaidi ya kusimama na matajiri kutukandamiza wanyonge.Kama kuna yeyote mwenye kujua atujuze,tuweze kumpongeza maana ni mwana jf mwenzetu kitambo sana.
 
Toa mifano jinsi anavyosimama na matajiri kutukandamiza, sio unaleta hoja bila utetezi. Ni hoja mfu
Anatetea majizi, madhulmat waliojificha kwenye makampuni ya simu.

Wale wanaibia waTanzania hakuna haja kueleza namna wanavyoiba kila mwenye akili timama ajua. Aliulizwa na spika bungeni kwanini mkampuni yanaiwaibia raia alijibu upuuzi na ushenzi tu zaidi ya kuwatetea hao majizi.

So watu wanajua nape ana interest na hawa majizi au wanaiba kwa baraka za mamlaka.
 
Ndugu zangu sina chuki,wivu wala sina ugomvi na mh.Nape,lakini ukweli sijaona chochote ambacho amefanya chenye maana ambacho kina manufaa kwa watanzania zaidi ya kusimama na matajiri kutukandamiza wanyonge.Kama kuna yeyote mwenye kujua atujuze,tuweze kumpongeza maana ni mwana jf mwenzetu kitambo sana.
Alideki barabara za Lindi kwa mikono yake...[emoji2827]
 
Kabla hujamwambia atoe mifano, jibu swali lake. Ni nini cha maana alichokifanya chenye faida kwa wanyonge?
 
Back
Top Bottom