Nape: Kampuni za Simu haziongezi bei za vifurushi bila idhini ya TCRA

Nape: Kampuni za Simu haziongezi bei za vifurushi bila idhini ya TCRA

Ndugu zangu sina chuki,wivu wala sina ugomvi na mh.Nape,lakini ukweli sijaona chochote ambacho amefanya chenye maana ambacho kina manufaa kwa watanzania zaidi ya kusimama na matajiri kutukandamiza wanyonge.Kama kuna yeyote mwenye kujua atujuze,tuweze kumpongeza maana ni mwana jf mwenzetu kitambo sana.
Mimi nakumbuka moja aliomba radhi kwa watumishi wa umma kulazimishwa kutumia line za TTCL
 
Ukimuuliza Nape bila shaka atakujibu , kama kulikuwa na nguvu ya Methew mwenyewe au Chadema , bali hakuna mashaka kwamba Methew alikamatwa kwa kusingiziwa uongo wa kutaka kumhonga DED ili atangazwe mshindi .

Methew alienda ofisi ya Ded kuhakiki fomu zake ila akabadilishiwa kibao kwa hisani ya Mtukufu Nape
Duu!,kama kweli alifanya hivyo Mungu atamlipa.
 
Hongera sana Nape kwa kutujuza kwamba kumbe wanaotusomesha namba sio kampuni za simu bali ni serikali wenyewe!!

Na kweli raia wanaisoma namba...Alhamdullilah nilihamia Post Paid mapema!!
 
Back
Top Bottom