Ndugu zangu sina chuki,wivu wala sina ugomvi na mh.Nape,lakini ukweli sijaona chochote ambacho amefanya chenye maana ambacho kina manufaa kwa watanzania zaidi ya kusimama na matajiri kutukandamiza wanyonge.Kama kuna yeyote mwenye kujua atujuze,tuweze kumpongeza maana ni mwana jf mwenzetu kitambo sana.