Huyu sahau; anaweza kuwa ndiye anayefuata baada ya Mama. Hivi nyie huwa mnahitaji viongozi wakoje? Mnataka wawe kama malaika kutoka mbinguni?.Na iwe kama ulivyonena, halafu baadaye afuatie Mwigulu
Kauli ya mheshimiwa haikuwa ya kujisahau, bahati mbaya wala kutojua.Jamaa nchi ilishakuwa yake hii,hata bila kupigiwa kura.
Mzanzibar, Mahmoud Thabit Kombo mtoto wa Mwanamapinduzi, waziri wa mambo ya nje na ushirikiano wa Afrika MasharikiSiyo kubet mkuu ! Subiria hata Mabadiliko ya Baraza la Mawaziri yanakuja Baada ya ziara ya Kusini Katavi, Nape na Makamba wanatemwa
Britanicca
Alikuwa anajua kabla; hiki kitu hakijamjia kama surpriseNape akawa mbishi nasikia katumbuliwa akiwa yuko mubadhara akigawa tuzo
Wewe una akili kubwa sana kuliona hilo. Kauli ya Nape ilikuwa staged, aliitoa kimakusudi kabisa. Werevu tulishagundua hilo mapema sana.Kauli ya mheshimiwa haikuwa ya kujisahau, bahati mbaya wala kutojua.
Ni very well-planned kama ilivyokuwa ile ya Spika Jobo.
Don't be fooled. Kazi inaendelea!
Pamoja na kwamba waliotolewa hawajaonewa, mimi nilitarajia wanacnhi wasikitike kwa viongozi hawa kuondolewa. Naamini Mkuu wa Nchi mwenyewe amelazimika tu kuwaondoa ila katika hali ya kawaida asingpeneda kuwaondoa kabisa; halafu kinyume chake ni kwamba sisi wananchi tunashangilia badala ya kusikittikaHata akitoka mwigulu bado hakuna chochote cha maana kitafanyika, tatizo la nchi hii sio mtu mmoja mmoja ni li mfumo lizima kuanzia juu hadi chini, ndipo kuna jini mnyonya damu, hata umlete MALAIKA, hatoboi!!
Niliwahi kumsikia siku moja anasema .... "huwa napitapita jamiiforums nasoma maoni yenu"...Ukute britanicca ni mshauri wa rais ama ndo rais mwenyewe
Lakini swala hili ukilinagnaliwa kwa jicho la tatu; wabongo walitakiwa wasikitike, hawakutakiwa kushangilia!10 days later.
Wabongo shangwe..
Mbona jiwe alimla kichwa?Huyu sahau; anaweza kuwa ndiye anayefuata baada ya Mama. Hivi nyie huwa mnahitaji viongozi wakoje? Mnataka wawe kama malaika kutoka mbinguni?.
Huyu ni kiongozi wa watu hawezi kutenguliwa miaka yote
Lazima wakumbukwe.Mzanzibar, Mahmoud Thabit Kombo mtoto wa Mwanamapinduzi, waziri wa mambo ya nje na ushirikiano wa Afrika Mashariki
Kipindi cha JPM mambo yalikuwa tofauti; karibia mara zote alikuwa anapewa ushauri wa kumhujumu ili ajimalize kirahisi mwenyewe; wataalamu wakiwa wamesimama pembeniMbona jiwe alimla kichwa?
Ndo vizuri wakina Kigogo tuwajue ni wakina nani ?Mkuu britanicca akili yangu dogo ya shamba inaniambia hivi huenda Mama kabla ya uteuzi na utenguzi aliongea na watoto wapendwa na kukubaliana nao labda watapewa fursa fulani mbeleni, na kama sivyo, tutarajie Account nyingi zikiwemo za Kigogo Kigogo kufanya vita ya mitandaoni na Bi Mother
Sawa katibu muktasiAlikuwa anajua kabla; hiki kitu hakijamjia kama surprise
Nitakupeleka mahakamani kwa sababu hujanilipa mshahara wangu mwaka mzima sasaSawa katibu muktasi
I am wondering hii sio jambo la kawaida.We Jamaa haupo kwenye special Op kweli ndani ya National S team