Nape: Muda mnaotumia kulalamika kuhusu bei za bando mngefanya shughuli nyingine

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2012
Posts
5,108
Reaction score
10,191
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye amesema kuna watu wanamkosoa kuhusu gharama za bando mtandaoni naye anawajibu kuwa muda huo wangeutumia kufanya kazi nyingine wasingelalama kuhusu bando.

Kauli hii ya waziri, imeenda kinyume na sera ya TEHAMA 2016 inayotaka kukuza fursa za mtandaoni kwa kuwa na gharama nafuu za data na mtandao unaopatikana daima.

Waziri ametoa kauli hii katika Kongamano la Maendeleo ya Sekta ya Habari 2020 lililofanyika JNICC, Desemba 17, 2022
 
Nape Nnauye haya unayoongea ndio uliyotumwa na wananchi wako wa Mtama au umetumwa na wawekezaji?
 
Huyu shetani laana yake haiko mbali! Mungu hamfichi mnafiki!
 
Mpumbavu aliyekubuhu
 
Duh! Huyu ni Waziri kweli?
 
Ndio tatizo la kuwapa nafasi watu ambao hawajitambui. Mbali na kukosa akili pia hata hana ufahamu wa eneo la kazi alilopo.

Ni sawa na mtu apewe kazi ya umeneja wa hoteli halafu wateja wanalalamikia huduma mbovu awajibu kuwa badala ya kulalamika watafute mambo ya kufanya. Sasa yeye anafanya kazi gani hapo?!
 
Bei zimepandishwa kimaksudi ili watu wasiikosoe serikali ya CCM. Nchi za kiafrika viongozi wake ni wajinga na wapumbav sana sababu huamini internet ni anasa na mtu asistahili kutumia akafanye kazi. Kazi gani? Kiongozi kama Nape ni mzigo kwa Tanzania.
Uchaguzi kutokuwa wa haki ndiyo matunda yake haya.
 
Sasa waziri anaetetea voda Airtel tigo zantel nk ulitegemea aongee chochote kuhusu wananchi
Nape endelea kupata percent zako huko usijali sisi tutazoea taratibu tu tumezoea kushinda bila umeme na bila maji ndio tushindwe kuzoea kukosa internet
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…