Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 78,790
- 128,275
Hawa wana nyege za kupinduliwa.Huyu waziri ndo wale wa kama mkate ghali kula keki [emoji3] kama bando ghali weka vocha usijiunge tumia hivyohivyo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawa wana nyege za kupinduliwa.Huyu waziri ndo wale wa kama mkate ghali kula keki [emoji3] kama bando ghali weka vocha usijiunge tumia hivyohivyo
OkSiamini mpaka nione video clip.
kumbe kuongea ni kutokufanya kazi . kuna wanaofanya kazi huku wanalalamika . ndiyo maana wanasema Kumsifia mwanasiasa kwa kuwa amejenga shule , hospital kwa kupitia pesa ya uma . Ni sawa na kuisifia ATM kwa kukupa pesa zako.Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye amesema kuna watu wanamkosoa kuhusu gharama za bando mtandaoni naye anawajibu kuwa muda huo wangeutumia kufanya kazi nyingine wasingelalama kuhusu bando.
Kauli hii ya waziri, imeenda kinyume na sera ya TEHAMA 2016 inayotaka kukuza fursa za mtandaoni kwa kuwa na gharama nafuu za data na mtandao unaopatikana daima.
Waziri ametoa kauli hii katika Kongamano la Maendeleo ya Sekta ya Habari 2020 lililofanyika JNICC, Desemba 17, 2022
Hizi ni kauli za mtu aliyeshiba pesa za waajiri wake ambao ndo anawajibu hivo baada ya kupatiwa mamlaka.Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye amesema kuna watu wanamkosoa kuhusu gharama za bando mtandaoni naye anawajibu kuwa muda huo wangeutumia kufanya kazi nyingine wasingelalama kuhusu bando.