Nape: Muda mnaotumia kulalamika kuhusu bei za bando mngefanya shughuli nyingine

Huyu Jamaa naona kajisahau Sana, amesahau kabisa Enzi za Magufuri alikuwa Na hali Gani.
 
kumbe kuongea ni kutokufanya kazi . kuna wanaofanya kazi huku wanalalamika . ndiyo maana wanasema Kumsifia mwanasiasa kwa kuwa amejenga shule , hospital kwa kupitia pesa ya uma . Ni sawa na kuisifia ATM kwa kukupa pesa zako.
 
Hawa wamebebwa bebwa mpaka kufika hapo,wengine wote wanawaona F tu

Ova
 
Hizi ni kauli za mtu aliyeshiba pesa za waajiri wake ambao ndo anawajibu hivo baada ya kupatiwa mamlaka.
 
Huyo Waziri hafai kuwepo hapo wahuni walivyomtoleq bastora alirudi kwa Wananchi kutia huruma leo kasahau kabisa anajibu anavyotaka na Mama anamuangalia tuu bora aende sehemu ingine sio huku kunahusisha jamii kubwa sana..
 
Hongera Sana Mheshimiwa. Watu WAVIVU sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…