Tetesi: Nape na Membe wahusishwa kuhujumu nguvu ya Magufuli ndani ya CCM

Tetesi: Nape na Membe wahusishwa kuhujumu nguvu ya Magufuli ndani ya CCM

Nchi inaharibika sasa kila anayetaka cheo huamua kujitoa mhanga na kuja na vioja ili mladi afanikishe lengo la kupata Uteuzi toka kwa mteuzi mkuu.
 
Wakifanikiwa kuua upinzani kwa kuhujumu vyama vya upinzani, roho ya upinzani haitawaacha salama. Itaendelea hata kama ni ndani ya chama kimoja. Na hapo huenda ikawa mbaya zaidi kiasi cha kufikia kupinguana kwenye madaraka. Hivi vyama wanavyovihujumu vinawapa fursa na nafasi ya kutolea nyongo, sasa vikifa unafikiri watu watafanyaje kutoa dukuduku zao?
upinzani umehamia CCM kimya kimya waasi wote wamehamia CCM lakini mioyoni mwao ni wapinzani watupu na wakiwa CCM watakuwa ni waleta taarifa muhimu kwa wapinzani ni kama pandikizi la upinzani humo CCM wajitafakari zaidi.
 
Eeh, kwa mara ya kwanza na mwisho, ngoja niku'quote': Sikujua. Tokea 2007, hata kabla ya akina 'Mama Ntilie'; Kifimbo Cheza; Mdosi Mzalendo, na hata akina Rev. Kishoka? Na katika muda huo wote 'posts' 28,034,275 zikamiminika na Cheo juu yake 'Expert Member?' Mzee Mwanakijiji alijulikana juu ya michango yake mizito ya wakati huo. Mbona cocochanel hatukuwahi kumsikia?
Wait a minute, 28 million posts? Itakuwaje hii! Ni posts za namna gani hizi!

Unachekesha sana

Ngoja nitoe kicheko cha kukusikitikia 🤣🤣🤣🤣

Uliambiwa nilikuja humu kujulikana au mmetaka kuninoti wenyewe.. 🤣🤣🤣🤣

Acha wivu wa kuniandikia pumba.. hakuna anayenipangia humu lini niandike na lini nisiandike..

Ujue niliijua kuanza kuisoma 2006 nikajiunga 2007 nilipoamua.. kaa ulie

Wengi humu wamo tangu enzi hizo hata post 100 au hata 50 hawajaandika humu..

So kua acha wivu mimi naburudika nitakavyo.. naweza pozi kwa muda nikitaka hata kuanzia sasa..

Eeeeh utakuwa wale mliishia kutenda maovu uraiani baada ya kutumia ID zenu vibaya.. sasa kuzirudia mnaogopa kwenda sero.. bai bai
 
Mkuu inawezekana yote uliyosema sio kweli, lakini wangalau 50% ni kweli na ushahidi ni Nape kujitokeza hapa jukwaani tena kwa verified id. Kuna muda mrefu sana Nape haingii hapa jukwaani kw verified id, lakini umechoma kichaka sungura wote wametokeza. Mkuu nakupa support maalum, mwaga data vizuri hata Membe ataingia na verified Id tuwape ukweli wao.
😂😂😂
Jamaa amemtoa nyoka pangoni
 
Upinzani wa kweli utatoka CCM ,

Membe akiamua kweli kweli anamvuruga jiwe sekunde.

Jiwe hajui chochote wala lolote

Nyapara wa barabara TU

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unachekesha sana

Ngoja nitoe kicheko cha kukusikitikia 🤣🤣🤣🤣

Uliambiwa nilikuja humu kujulikana au mmetaka kuninoti wenyewe.. 🤣🤣🤣🤣

Acha wivu wa kuniandikia pumba.. hakuna anayenipangia humu lini niandike na lini nisiandike..

Ujue niliijua kuanza kuisoma 2006 nikajiunga 2007 nilipoamua.. kaa ulie

Wengi humu wamo tangu enzi hizo hata post 100 au hata 50 hawajaandika humu..

So kua acha wivu mimi naburudika nitakavyo.. naweza pozi kwa muda nikitaka hata kuanzia sasa..

Eeeeh utakuwa wale mliishia kutenda maovu uraiani baada ya kutumia ID zenu vibaya.. sasa kuzirudia mnaogopa kwenda sero.. bai bai

Okay, ngoja nivunje mwiko mara hii moja.
Kama 'posts' ni za aina hii, sishangai. Na uzuri wa JF, kumbukumbu hazifutiki, zipo tu kwa yeyote atakaye kuzirejea.
 
Uongo mtupu kabisa Nape ni mnafiki lakini hana uwezo hata chembe wa kuhujumu Magufuli hata kwa chembe..na wala mzee Membe hana tabia hiyo kajituliza zake huko.....
Kwa hiyo umeona ndani ya ccm ilivyo tabia ya uongo, unafiki na kujipendekeza?
Na hili haliishi kwa sasa kwani ni tabia halisi za mwenye kigoda mwenyewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ukivaa chupi ya kutoboka hata kama ipo ndani ya makalio utahisi tu upo wazi.jiaminini mavi nyie.
 
558a213b-d198-4870-a283-bc8114e457cc-jpeg.842644
 
Mimi nashauri Rais aachwe afanye kazi kwa faida yetu Watanzania; Kati ya sisi wote yeye ndiye yupo kwenye nafasi nzuri zaidi ya kujua lipi ni sahihi na lipi sio sahihi kwani anazo nyenzo za kumsaidia kufanya hivyo.
Hili la wapinzani kuhamia CCM ukifikiri kwa haraka haraka unaweza kuona kuwa lina madhara ila ukituliza kichwa utaona kile ambacho Rais amekiona; ambacho mimi naona kina faida kwa Chama.
 
Back
Top Bottom