Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
upinzani umehamia CCM kimya kimya waasi wote wamehamia CCM lakini mioyoni mwao ni wapinzani watupu na wakiwa CCM watakuwa ni waleta taarifa muhimu kwa wapinzani ni kama pandikizi la upinzani humo CCM wajitafakari zaidi.Wakifanikiwa kuua upinzani kwa kuhujumu vyama vya upinzani, roho ya upinzani haitawaacha salama. Itaendelea hata kama ni ndani ya chama kimoja. Na hapo huenda ikawa mbaya zaidi kiasi cha kufikia kupinguana kwenye madaraka. Hivi vyama wanavyovihujumu vinawapa fursa na nafasi ya kutolea nyongo, sasa vikifa unafikiri watu watafanyaje kutoa dukuduku zao?
Kinyume na nini?dawa ishaanza kuwaingiaSasa kama anaenda kinyume tufanyeje
Eeh, kwa mara ya kwanza na mwisho, ngoja niku'quote': Sikujua. Tokea 2007, hata kabla ya akina 'Mama Ntilie'; Kifimbo Cheza; Mdosi Mzalendo, na hata akina Rev. Kishoka? Na katika muda huo wote 'posts' 28,034,275 zikamiminika na Cheo juu yake 'Expert Member?' Mzee Mwanakijiji alijulikana juu ya michango yake mizito ya wakati huo. Mbona cocochanel hatukuwahi kumsikia?
Wait a minute, 28 million posts? Itakuwaje hii! Ni posts za namna gani hizi!
😂😂😂Mkuu inawezekana yote uliyosema sio kweli, lakini wangalau 50% ni kweli na ushahidi ni Nape kujitokeza hapa jukwaani tena kwa verified id. Kuna muda mrefu sana Nape haingii hapa jukwaani kw verified id, lakini umechoma kichaka sungura wote wametokeza. Mkuu nakupa support maalum, mwaga data vizuri hata Membe ataingia na verified Id tuwape ukweli wao.
Unachekesha sana
Ngoja nitoe kicheko cha kukusikitikia 🤣🤣🤣🤣
Uliambiwa nilikuja humu kujulikana au mmetaka kuninoti wenyewe.. 🤣🤣🤣🤣
Acha wivu wa kuniandikia pumba.. hakuna anayenipangia humu lini niandike na lini nisiandike..
Ujue niliijua kuanza kuisoma 2006 nikajiunga 2007 nilipoamua.. kaa ulie
Wengi humu wamo tangu enzi hizo hata post 100 au hata 50 hawajaandika humu..
So kua acha wivu mimi naburudika nitakavyo.. naweza pozi kwa muda nikitaka hata kuanzia sasa..
Eeeeh utakuwa wale mliishia kutenda maovu uraiani baada ya kutumia ID zenu vibaya.. sasa kuzirudia mnaogopa kwenda sero.. bai bai
Kwa hiyo umeona ndani ya ccm ilivyo tabia ya uongo, unafiki na kujipendekeza?Uongo mtupu kabisa Nape ni mnafiki lakini hana uwezo hata chembe wa kuhujumu Magufuli hata kwa chembe..na wala mzee Membe hana tabia hiyo kajituliza zake huko.....
Unadhani nikijielewa utapata manufaa gani? Na wewe unaejielewa unakaa kufuatilia watu wasiojielewa huoni kama wewe ndiye hujielewi.We jamaa hujielewi kabisa
Leo Gamba kesho unapondea ugambani
Sent from my Nokia 6.1 using Tapatalk
Unashangaa hilo? Ikiwa mtu ana mamlaka zote lkn anaogopa mpakaYani Membe pamoja na Kukaa kimya bado anaonekana kikwazo!!
Tanzania Nchi huru..Hii sasa ni Kero..