Nape na ombi la CAG kukagua mikopo; kuna watu wamepanic!

Comrade binafsi sipingi uchunguzi wowote ila, nasema ila waanzie huko nyuma although hata waziri wa fedha kasema wakati mnazipelekq akili zenu kwenye upekuzi pia angalieni yale yanayo onekana.
 
Hiyo itakuwa fursa kwa wakaguzi, ngoja wapige hela za kukagua mapato na matumisi ya pesa za nje
 
Mnaosema Nape ana maslahi yake kisiasa mnamaanisha asiseme hata kama kuna jambo analifahamu? Nafikiri kafanya jambo la maana ili tujue ukweli, swala la kuchukuliwa hatua kwa wahusika ilo ni hatua nyingine.
 

UKAGUZ UFANYIKE ILI TUONE HUYO ANAESIFIWA KUWA NI MZALENDO NA ALIKUWA ANAFANYA MIRADI KWA FEDHA ZETU ZA NDANI TUMUONE NA TUUJUE UKWELI WAKE
 
Mnaosema Nape ana maslahi yake kisiasa mnamaanisha asiseme hata kama kuna jambo analifahamu? Nafikiri kafanya jambo la maana ili tujue ukweli, swala la kuchukuliwa hatua kwa wahusika ilo ni hatua nyingine.
Nape ametimiza majukumu yake.
 

Watatafutwa “wanyonge” hasa wale wenye kuleta fitna waangushiwe jumba bovu.

Ndio maana sasa Rugemalira kaamua kuchukua nafasi ya DPP ili ashitaki walioiibia serikali pesa za Tegeta Escrow na kumuangushia yeye jumba bovu.
 

Mkuu wasiwasi wako ni late Magufuli kuchafuliwa? Unajua hata Nyerere ana mauzauza yake yanayokosolewa hadi leo?
 
Wewe huipendi CCM. Sio?
 
Nimeelewa mkuu
 
Kwanza kabisa tujue pesa za Andrew chenge vijisent alizitoa wapi na kwa nn alisema vijisent tu na kwa nn lowasa alijitoa madarakani kwa masrahi ya nani

Epa
Tegeta escrow
Dowans zote CAG ANGEKAGUA NDIO HAPO TUJUE NINI KINACHOENDELEA
CCM WOTE NI WAIZI FANYA KAZI NUFAISHA FAMILIA YAKO OVA
 
Kweli
 
Kwahiyo hoja yako ni ipi? Kwamba CAG akague pesa za mkopo kipindi cha Magufuli ambazo aliishazikagua ila asikague za Awamu zingine kwasababu aliishazikagua?
Awamu ya 5 CAG alikosa access ya kukagua shilingi 1.5 trilioni na za baadhi ya mafungu (according to his report). Labda wadau wapendekeze hizo tu.
 
Kosa ka kiongozi mmoja halihalalishi kiongozi mwingine kufanya vivyo.
Suala la kuanza ukaguzi ni hili lililopo mezani-mikopo ya matrillioni yametumika vipi.
 
Je madai ya muheshimiwa Nape juu ya mikopo kipind cha Mwendazake na kupanda kwa deni la Taifa je Nape ana hoja ya msingi kutaka ufanyike ukaguz wa matumiz yake?

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…