TODAYS
JF-Expert Member
- Apr 30, 2014
- 14,747
- 24,250
Comrade binafsi sipingi uchunguzi wowote ila, nasema ila waanzie huko nyuma although hata waziri wa fedha kasema wakati mnazipelekq akili zenu kwenye upekuzi pia angalieni yale yanayo onekana.Hao waliopita lini waliwahi kusema wao ni wasafi na wasema kweli? Huyo aliyekuwa Rais wa wanyonge ndiyo alikuwa anasema yeye anachukia ufisadi na ni msema kweli. Sasa akichunguzwa kuna shida gani? Wanyonge mnatakiwa mjue ukweli kuhusu aliyekuwa Rais wenu ili mjue ni jinsi gani aliwapambania.
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]