Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 32,406
- 55,148
Nafikiri serikali iliyopo Sasa ni ile ile iliyokuwepo, kuanzia Rais, Makamu na waziri Mkuu.
Semea authority,lkn kuhusu kujua lazima alijua ndo hivyo akawa hana power.Mama hakua na Authority yyt na pengine hakujua awamu ya tano walimuona mama ana lolote yaani
Watu wameanza kusita kuyatembelea mahekalu yao Mbweni.Awamu hiyo kuna watu walipiga hela za kufuru
Sijui nilikuwa wapi
Bila maelekezo hawezi kufanya?Kama uchunguzi ukifanywa na Bunge kwa kuamriwa hivyo, basi utakuwa uchunguzi dedicated kwa hiyo mikopo tu ya Awamu ya Tano, kama alivyoomba Nape!
Kumbuka CAG alifungishwa virago alipohoji Trillioni 1.5 zimeenda wapi!
CAG anaweza na atafanya hiyo, lakini ni in general terms kama anavyofanya ukaguzi kila mwaka.Bila maelekezo hawezi kufanya?
Watu wameanza kusita kuyatembelea mahekalu yao Mbweni.
Kwahiyo kama kuna kigogo ana tuhuma za wizi tukae kimya kwakuwa hakuna hatua zitakazochukuliwa?Zimbabwe kuna waziri alikumbwa na tuhuma za rushwa, na kwakua ilimhusisha mkuu, walipomfuata kumhoji akasema "go on but I will not sink alone" aliishia kubadilishwa wizara tu.
Nnachotaka kusema ni kwamba, hata ukifanyika ukaguzi madudu yakabainika, hakuna wa kumuwajibisha mwenzake, wengi sio wasafi. Watu ni walewale waliokuwepo awamu iliyopita.
Nnachojiuliza sasa, Nnnnape anafanya haya yote sasa hivi kwa uzalendo au kwa vile hakunufaika na ufisadi?
Kwahiyo kama kuna kigogo ana tuhuma za wizi tukae kimya kwakuwa hakuna hatua zitakazochukuliwa?
Huoni kama kitendo tu cha kufanya uchunguzi kitatufanya angalau kujua uadirifu wa viongozi tulionao ?
Inawezekana kweli Nape amesema hayo kwavile hakuwa na mahusiano mazuri na utawala uliopita, kwahiyo hilo limfunge mdomo hata akinusa harufu ya ufisadi ?
Watu hawa kila siku hapa Jf walituamisha kuwa utawala wa awamu ya 5 ulikuwa msafi, usiokuwa tuhuma, kwamba kila senti ya serikali imefanya kilichokusudiwa, lakini cha kushangaza wanaogopa uchunguzi .Kuna waliofaidika na JPM kwa kula cha juu kikubwa!
Utawasikia wakienda kwa waganga ili kuzuia uchunguzi🙂[emoji1787][emoji1787]
Umenena vema mkuu.CAG anafanya kazi yake kila mwaka kwa ufanisi mkubwa.
JPM alipoanza kukafiliwa tu, kwa vile anajua anakwapua fedha za umma , akamfukuza CAG Assad, hilo kila mtu anajua.
Ni wewe tuna akili yako kung'amua kuwa tulikuwa na kiongozi si mwamiifu.
Siyo ku-panic; bali kudadisi mantiki ya pendekezo au ushauri huo. Nape alikuwa Mbunge tangu wakati wa JPM. Kwa nini hakutumia wadhifa wake huo wakati ule kupendekeza anayoyasema hivi sasa, akasubiri hadi leo kuja kufanya hivyo? Hapo hapo, alikwenda kumwomba msamaha JPM na hakuwa na la kumtonya Rais kuhusu udhalimu anaoufahamu ukifanyika. Hiyo ndiyo shaka yetu kwamba ni uchumia tumbo ndio unamtuma kufanya hivyo. Siyo shauri la ku-panic.CAG kimsingi amekubali kukagua fedha za mikopo iliyoingiwa na serikali ya Awamu ya 5.
CAG Kichere amesha sema anasubiri maelekezo tu.
Kutokana na mijadala, hata humu JF, kuna watu wamepanic.
Kisirisiri wengi wanajua frdha zilivyoliwa, mitambo nyeti imenunuliwa st inflated prices, na hakuna aliyeuliza.
Miradi haikuhakikiwa na bunge, hilo linajulikana.
Nenda Tegeta A, Mbweni na kwingineko, majumba yalipaa kama uyoga, na ni watu fulani tu.
Nape umetonesha kidonda.
Usikute wewe ndiyo mwizi mwenyewe mliokula mikopo ☹☹☹Chief, sipo kabisa kwenye kutoa maamuzi au kupendekeza nini kifanyike, lakini ni haki yangu kutoa maoni. Chukulia haya kama maoni yangu na mtazamo wangu.
Uchunguzi/ ukaguzi unahitaji pesa. Na kama CAG anafanya kazi zake kwa ufanisi, alitakiwa awe ameshabaini tuhuma za huyu Nnnnnape.
Ni kupoteza rasirimali za taifa kwa vitu ambavyo mnajua havitatufikisha popote zaidi ya kutumika kisiasa tu.
Shushia na maji baridi mkuu jiji lamoto hiliZimbabwe kuna waziri alikumbwa na tuhuma za rushwa, na kwakua ilimhusisha mkuu, walipomfuata kumhoji akasema "go on but I will not sink alone" aliishia kubadilishwa wizara tu.
Nnachotaka kusema ni kwamba, hata ukifanyika ukaguzi madudu yakabainika, hakuna wa kumuwajibisha mwenzake, wengi sio wasafi. Watu ni walewale waliokuwepo awamu iliyopita.
Nnachojiuliza sasa, Nnnnape anafanya haya yote sasa hivi kwa uzalendo au kwa vile hakunufaika na ufisadi?
Umepata muda wa kuandika utoto humu. Yaani tunajadili nani kasema badala ya ngapi zimeibwa na nani ili zirudishwe? Kwa hiyo wewe mwizi akikupa tips za wezi wenzie walivyokuibia utaacha kufanyia kazi kwa sababu naye ni mwizi?Siyo ku-panic; bali kudadisi mantiki ya pendekezo au ushauri huo. Nape alikuwa Mbunge tangu wakati wa JPM. Kwa nini hakutumia wadhifa wake huo wakati ule kupendekeza anayoyasema hivi sasa, akasubiri hadi leo kuja kufanya hivyo? Hapo hapo, alikwenda kumwomba msamaha JPM na hakuwa na la kumtonya Rais kuhusu udhalimu anaoufahamu ukifanyika. Hiyo ndiyo shaka yetu kwamba ni uchumia tumbo ndio unamtuma kufanya hivyo. Siyo shauri la ku-panic.
Mbombo ngafuZimbabwe kuna waziri alikumbwa na tuhuma za rushwa, na kwakua ilimhusisha mkuu, walipomfuata kumhoji akasema "go on but I will not sink alone" aliishia kubadilishwa wizara tu.
Nnachotaka kusema ni kwamba, hata ukifanyika ukaguzi madudu yakabainika, hakuna wa kumuwajibisha mwenzake, wengi sio wasafi. Watu ni walewale waliokuwepo awamu iliyopita.
Nnachojiuliza sasa, Nnnnape anafanya haya yote sasa hivi kwa uzalendo au kwa vile hakunufaika na ufisadi?
Awamu ya nne ufisadi ulifanyika na kila mmoja ameuona.Naunga mkono hoja. Isiwe Awamu ya tano tu. Ianze awamu ya nne uone watu. watakavyoumbuka
Unasema tunajadili 'ngapi zimeibiwa' na si 'nani kasema'. Labda hayo ndiyo mawazo yako lakini kwenye uzi mhusika hakuna hata mstari mmoja unaojadili 'ngapi zimeibiwa'. Badala yake uzi unamtaja Nape kwamba ndiye aliyesema ninayoyajibu. Sasa ni 'utoto' upi ambao nimeuzungumzia? Wewe ndiye unayeunganisha mawazo yako katika uzi unaozungumzia mambo tofauti kabisa. Anzisha uzi wako kwa yale yaliyomo moyoni mwako. Usilete mambo ya 'kitoto' kuunganisha mawazo yako na nyuzi zinazozungumzia mambo tofauti kabisa.Umepata muda wa kuandika utoto humu. Yaani tunajadili nani kasema badala ya ngapi zimeibwa na nani ili zirudishwe? Kwa hiyo wewe mwizi akikupa tips za wezi wenzie walivyokuibia utaacha kufanyia kazi kwa sababu naye ni mwizi?
Shushia na maji baridi mkuu jiji lamoto hili
Usikute wewe ndiyo mwizi mwenyewe mliokula mikopo ☹☹☹