Nape na ombi la CAG kukagua mikopo; kuna watu wamepanic!

Muulzen mpango anajua kila kitu manaogopa nini kumuulza.
kwahiyo kutosema ni wasafi ni kujustify ufisadi ?
unatumia nini kufkri?
 
Ni kweli kabisa una haki ya kutoa maoni kama ambavyo na sisi tuna haki hiyo hiyo ya kukuambia kwamba maoni yako ni ya kindezi na kipimbi sana, yaani hatutaacha kukukumbusha hilo...
 
Kweli kabisa, kama kila Rais angekuwa ni kujenga jenga tu, kukwapua fedha za wafanya biashara, kutopandisha madaraja wala kuajiri, kukopa kopa kama yeye, si kila Rais angejenga tu
 
Ni kweli kabisa una haki ya kutoa maoni kama ambavyo na sisi tuna haki hiyo hiyo ya kukuambia kwamba maoni yako ni ya kindezi na kipimbi sana, yaani hatutaacha kukukumbusha hilo...

Ahsante kwa maoni yako mkuu. Nayaheshimu
 
Hivi wewe na akili yako ulimuona JPM anaweza kuficha hela hata Billion moja wewe? Azifiche wapi? Huelewi jinsi walivyokuwa wanamuwinda kumuumbua? Aipeleke benki ipi? Angalikuwa ni JK sema huyo ni mjanja tangu awamu ya pili na Barick yake.
Sasa kama ni hivyo uoga wa nini kumkagua?
 
Kama kulikuwa na kasoro kwenye awamu ya 5 kuhusu hizo fedha za mkopo, ina maana hata aliyrkuwa VP, PM na WFM wanahusika kwa asilimia za kutosha.
Nafikiri Mhe. Nape ana jambo lake binafsi na si kwamba anamtengeneza mama. Anambomoa kidogokidogo ili ikifika 2025 upepo ubadilike. Nadhani wana lengo lao na yule jamaa wa TANESCO mwaka 2025.
 
Siyo kesi, kwani zilishapotea nyingi, Rais wa wanyonge lazima alikuwa msema kweli so usiogope.
 
Nani angeweza kipindi cha mwendakuzimu?
 
Hivi wewe na akili yako ulimuona JPM anaweza kuficha hela hata Billion moja wewe? Azifiche wapi? Huelewi jinsi walivyokuwa wanamuwinda kumuumbua? Aipeleke benki ipi? Angalikuwa ni JK sema huyo ni mjanja tangu awamu ya pili na Barick yake.
Na kwann alikuwa mwoga kuambiwa kuna Hera hazina mahesabu yule hakuwa malaika huenda kuna akili zake zilifisadi
 
Muulzen mpango anajua kila kitu manaogopa nini kumuulza.
kwahiyo kutosema ni wasafi ni kujustify ufisadi ?
unatumia nini kufkri?
Kutokusema ni wasafi siyo justification ya uovu wao. Acha uchunguzi ufanyike kama ni msafi uoga wa nini? Unasema aulizwe Mpango? Yule bwana alisema hashauriki na waliojaribu kumpa ushauri unajua kilichowapata, sasa unasema aulizwe Mpago! Unatumia nini kufkri?
 
Nani anaogopa?
Nyie ndio mnaogopa huyo aliyekuwa anakopa mmempa umakamu mtaweza wapi kufanya uchunguzi?
 
Huwezi kumlaumu mtu yeyote aliyekuwepo kwani jiwe alisema yeye hashauriki, au umesahau?
 
Hujui serikali yake ilikuwa na demokrasia ndiyo maana uovu wake ulijulikana. Sasa ni zamu ya jiwe
Unajua hata context ya demokrasia?
Si tulikubaliana wana ufipa ilikuwa serikari lege lege na goi goi kumbe leo ndio demokrasia
popo ni ndege mnyama? ufipa elewekeni ilikuwa serikari lege lege au demokrasia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…