DUBULIHASA
JF-Expert Member
- Nov 26, 2016
- 4,446
- 8,215
detoHili andiko bana eti mtu aziniye na mwanamke.Sasa tuzini na nani?????
Ufungwe tuendelee na maombi, hao kuacha hawawezi. Chadema wakitaka vijana waandamane wawashawishi serikali wakataze matumizi ya VPN uone πππusitishwe tu kwa mapumziko mafupi kidogo, bado wadau hawajathema
Kumbe nawe bhangi πππdeto
Chadema tena mama mchungaji π€£Ufungwe tuendelee na maombi, hao kuacha hawawezi. Chadema wakitaka vijana waandamane wawashawishi serikali wakataze matumizi ya VPN uone πππ
Kabisa au zikatoka zenyewe au kama una mke ukamlamba maziwa ukijishika chini zimekutokana ukajikuta unajichukulia sheria mkononi na kuangamiza viumbe maskini wasio na hatia na huenda walikua viongozi wajao wa nchi aissee...
kidole imeteleza kidogo, mama mchungaji samahan kipenzi changuKumbe nawe bhangi πππ
Aisee basi hii nchi naona ina mahila tu. Maana tunavyo penda kudinyanaMithali 6:32 "Mtu aziniye na mwanamke hana akili kabisa"
Kwahiyo mweshimiwa waziri Nape kwa kupenda ngono "hana akili kabisa"
πππ Hadi wazee wataandamanaChadema tena mama mchungaji π€£
Hiyo vita yake sijui ata kama maombi itasaidia....
Wewe unanipa wasiwasi sijui uko upande gani? πππkidole imeteleza kidogo, mama mchungaji samahan kipenzi changu
ooh tena mama mchungaji kipenzi changu, pole Mtumishi..Wewe unanipa wasiwasi sijui uko upande gani? πππ
Amen πooh tena mama mchungaji kipenzi changu, pole Mtumishi..
Hivi sasa nafanya maombi mafupi, Namuomba Roho Mtakatifu katika ulimwengu wa Roho anitambulishe vema moyoni mwako na akujulishe wito wangu kwa waja na watoto wake katika ulimwengu huu, ikiwa ni pamoja na wewe mpenzi, mwenzi na msaidizi wangu katika kazi na majukumu ya kuhubiri neno na masuala mbalimbali ya kijamii, kisiasa, kiuchumi, kiutamaduni Sayansi na Techologia ...
Katika sifa na Utukufu wa jina lake Amen π
AimenAmen π
Nae mtu anaongeza ujuzi, elimu haina mwisho na mwisho ni yenyewe.Mweshimiwa waziri Nape anaangalia ngono! Hii nchi inaongozwa na walaaniwa!
π€£π€£ππNae mtu anaongeza ujuzi, elimu haina mwisho na mwisho ni yenyewe.
Duuh aseMheshimiwa anafungia VPN kumbe nae huwa anaangalia video za Pilau πππ credit by spana konk
View attachment 2813156
π€£π€£π€£πDuuh ase