Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mara nyingi sana tumezomea kuona Jeshi la Polisi wakitumia nguvu kubwa sana kupambana na upinzani kuliko kutumia akili au njia sahihi katika kutimiza wajibu wao huo.
Kitendo ambacho kimefanywa leo na Afisa wa Jeshi la Polisi kuonyesha bastola hadharani kinatakiwa kulaani na kupingwa kwa nguvu zote.
Aliyekuwa Waziri wa Habari na Utamaduni na michezo Nape Mnauye akifika maeneo ya hotel kwa ajili kufanya mkutano na waandishi wa habari jambo la kushangaza baada ya hapo Afisa wa Jeshi la Polisi alimfuata na kuzuia wakati Nape Nnauye anamwambia Afisa wa Jeshi la Polisi atoe kitambulisho chake yeye Afisa badala ya kutoa kitambulisho ndo akatoa bastola.
Ni tukio la kulaani sana kwenye nchi kwani ni muda wiki sasa baada ya tumeshuhudia tukio la kituo cha Clouds kuvamiwa na Rc akiwa na ulinzi na askari wenye silaha .
Hii haiko sawa kabisa!! Huyo ni nani mwenye pistol??
Kubadilika kwa zama hakuondoi taratibu na sheria tulizojiwekea.Ni suala la hekima tu na kujua nini unapaswa kufanya.Zama zimebadilika ndugu
Nani pale Clouds alinyooshewa mtutu wa bunduki kama ilivyotokea kwa Nape?
Nani pale Clouds alikuwa roughed up kama ilivokuwa kwa Nape leo?
Wacheni kupromoti watu kwenye mitandao ya kijamii kila sehemu hamorapa harmorapa kamakipaji anacho atajulikana tuu tuongelee yalio jiri.Mi sikuiona bastola nimemuona Hamo Rapa wakati anakimbia bastola.