Mugabe one
JF-Expert Member
- Nov 15, 2016
- 2,327
- 1,683
Anaruhusiwa na sheria, kama unaona wivu kaajiliwe huko nawe!Mara nyingi sana tumezomea kuona Jeshi la Polisi wakitumia nguvu kubwa sana kupambana na upinzani kuliko kutumia akili au njia sahihi katika kutimiza wajibu wao huo.
Kitendo ambacho kimefanywa leo na Afisa wa Jeshi la Polisi kuonyesha bastola hadharani kinatakiwa kulaani na kupingwa kwa nguvu zote.
Aliyekuwa Waziri wa Habari na Utamaduni na michezo Nape Mnauye akifika maeneo ya hotel kwa ajili kufanya mkutano na waandishi wa habari jambo la kushangaza baada ya hapo Afisa wa Jeshi la Polisi alimfuata na kuzuia wakati Nape Nnauye anamwambia Afisa wa Jeshi la Polisi atoe kitambulisho chake yeye Afisa badala ya kutoa kitambulisho ndo akatoa bastola.
Ni tukio la kulaani sana kwenye nchi kwani ni muda wiki sasa baada ya tumeshuhudia tukio la kituo cha Clouds kuvamiwa na Rc akiwa na ulinzi na askari wenye silaha .