Nape Nnauye atishishiwa Bastola na kusukumizwa kwenye gari

Nape Nnauye atishishiwa Bastola na kusukumizwa kwenye gari

Mwana habari wa mchezo maulid kitenge....kitendo ulichokifanya cha kumfukuza na kumtoa nduki yule Jamaa aliyemtolea bastola mh nape! NI cha kishujaa kwani Jamaa alishaingia kingi ulishamtuliza..
Sijui kama wakina pasco wangekuwepo kwenye tukio hilo kama wangefanya action kama yako.
Salute sana maulid kitenge....

OVA
 
Yeah... Utu uzima Dawa.. Yule jamaa alikuwa anatumia nguvu badala ya akili!!
 
Nimeitaza iyo clip mara ishirini na saba....ndiyo nikatoa maelezo hayo hapo juu. ebu angalia vizuri hiyo clip mwanzoni mwana usalama anaamfuata Nape mpaka hatua ya askari kuamua kujihami.
Mkuu TUJITEGEMEE: Naona Una mahaba ya dhati na Serikali kiasi unashindwa kuona tukio lilio wazi,

Kwamba, wale wanausalama wawili hawakuona "iko" unachotaka tuamini kuwa ni silaha? Yaani Nnape abebe silaha kwenye press conference.

Wewe, na yule alietoa silaha ndio mmeona au mmehisi kuwa Nnape alikuwa na "silaha".

Muda mwingine sio lazima uandike mawazo yako, baki nayo Akili kwako ukitafakari.

Napenda mnoo, ukiwa ukitoa analysis za USA huku unajitia tope tuu, unaandika mauza uza nisiyo yaelewa.

Have a wonderful day.
Panic on your own risk.
 
Mwana habari wa mchezo maulid kitenge....kitendo ulichokifanya cha kumfukuza na kumtoa nduki yule Jamaa aliyemtolea bastola mh nape! NI cha kishujaa kwani Jamaa alishaingia kingi ulishamtuliza..
Sijui kama wakina pasco wangekuwepo kwenye tukio hilo kama wangefanya action kama yako.
Salute sana maulid kitenge....

OVA
Ule ndio uanamume aisee
 
Jamaa aliyevaa suti ana busara sana, huyo naye ni asikali?
 
Jamani watanzania tutafakar kwa kna sana hii inch inapokwenda n kwenye udkteta wa hal ya juu sana, km Leo nape kafanyiwa hvo je mbowe.?
 
Askar uwa n km machz
Na ndomana wataendelea kuajiriwa walio fail fom4 kwa sababu hiyo ya kutumwa ujinga unaenda fanya
 
Kilichotokea kwa Nape leo na nilichokiina kwenye surveillance footage ya Clouds ni mambo mawili tofauti kabisa.

Sasa hayo mambo ya mimi kuhukumu hivi au vile sijui wewe umeyatoa wapi.

Kusoma na kuelewa ni janga kuliko tunavodhani.
Oh, well, that's just like, your opinion, man...
 
Halafu unakuta jitu tena janaume eti; Ccm oyeee!"
 
Back
Top Bottom