Nape Nnauye atishishiwa Bastola na kusukumizwa kwenye gari

nape angaamua hapo angemsukuma tu adondokee huko alafu tuone anafanya nini? anatoa bastola mchana kweupe mbele za watu hapa nchin tz? amefundishwa kweli huyo? hahaha. hivi wanafikiri hii nchi ni kampuni yao wanaweza kuifanya lolote?
 
Nyani leo unasemaje?! Siyo mpenzi wa CCM?! Comments zako nyingi umekuwa ukisapoti ufedhuli huu, na bado mlifikiri wataumia ukawa tu lakini chatu amegeukia kuku wa ndani ya nyumba.
Nionyeshe bandiko langu moja tu ambapo nimeisapoti CCM.
 
BASHITE kawazoeza.

ASHITAKIWE. Hajajitambulisha anatoa bastola! Yy ana utofauti gani na Jambazi sasa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…