Nape Nnauye atishishiwa Bastola na kusukumizwa kwenye gari

Nape Nnauye atishishiwa Bastola na kusukumizwa kwenye gari

Ni aibu kwa taaluma nzima ya usalama,kwa mwanausalama kumvamia kiongozi bila ya kujitambulisha na kuonyesha kitambulisho na kuanza kumtisha kwa bastola ili atii amri yako.

Nakushauri kamanda Sirro umrudishe uyu kijana akasome vizuri sheria za usalama kuliko kulitia aibu jeshi la polisi.
ae9d14574e3bbed226f3c2cf1d2f8bf7.jpg
217b388a8e7c271a658257fd2558bced.jpg
Arudishwe wapi? hili ni kosa la kutia kuua tena mchana kweupe, nilitegemea achukuliwe hatua za kisheria mara moja.
 
Wazungu wasema "Wat an asshole" Kaka Sirro eh, mnatuaibisha na wapumbavu hao, ndugu zetu jirani wanatucheka!!!!
 
Watanzania wote ukitoa Bashite na Dingi yake tunatakiwa kulaani haya matukio ya ajabu kama haya.
 
Nakushauri kamanda Sirro umrudishe uyu kijana akasome vizuri sheria za usalama kuliko kulitia aibu jeshi la polisi.

Kwa mazingira hayo huyo hawajibiki kwa Kamanda Sirro kabisa na wala hapokei command ya kamanda Sirro.
 
Utulivu wa Nape safi sana... Unjaua hata akama umeagizwa kazi lakini kutumia akili za kuzaliwa pia ni muhimu sana...
 
Gwajima yeye hakutishia isipokuwa anashitakiwa kwa kushindwa kutunza silaha, je huyu ambaye ametishia kuua kwa nini asishitakiwe?
 
Hiyo ndo shida ya kuajiri mijitu isiyo na vyeti...afu anaonekana kuna raia alimpush wangempora hicho kibastola chake
 
nape angaamua hapo angemsukuma tu adondokee huko alafu tuone anafanya nini? anatoa bastola mchana kweupe mbele za watu hapa nchin tz? amefundishwa kweli huyo? hahaha. hivi wanafikiri hii nchi ni kampuni yao wanaweza kuifanya lolote?
Mathafaka sana hawa
 
Back
Top Bottom