Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata wakiambiwe wawe nyumba ndogo watakubali?Hao maaskari hawana shida wao wanatekeleza walicho ambiwa na wakubwa wao hawawezi kataa
Most of them are what Plato termed as Iron boys. The don't have "reasoning" in their vocabularies.Askari ni binadamu ambao unaweza ukawatuma utakavyo na wakafanya bila kuhoji hata ukiwaambia nendeni mkaue basi watatenda na yakiharibika unawakataa wanabaki wenyewe bado wataogopa kusema walitumwa heeeeee heeee narudia tena Alhamdullilah namshukuru Mungu sikutumbukia kwenye kazi hii na kwenye kizazi chetu hakuna aliekumbwa na balaa hili sijui wanalishwa nini maana baba zima ila linaweza kutumwa na Bashite na likaenda bila kuhoji [emoji23][emoji23][emoji23]
Uyo askari hapo ukimuuliza kwa nini alikua anatumia nguvu zote hizo hata mwenyewe atashangaa na anaweza kukataa kua sio yeye heee heeee
Ni mwana usalama piaMaulidi kitenge aliwezaje kusolve ile ishu? Nimeshindwa kumwelewa kabisa.
What goes around comes aroundMzee wa goli la mkono limemrudi!!!.....Malipo ni hapahapa!!!
AsijaribuNashauri kama kuna msanii wa bongo fleva anataka aachie ngoma yake kali kwelikweli, basi asubiri kwanza hii movie iishe ndio atoe.
Kwa bahati mbaya kinatokea ndani ya chama chao Sasa....mimi mtazamaji tuuuuuDah!
Mimi si mpenzi wa CCM na si shabiki wa Nape ila hicho nilichokiona kwenye hiyo video sijakifurahia.
Kwangu haki ni haki tu.
Ni nini hasa kilipelekea yote hayo?
Kuna anayejua humu anieleweshe zaidi?
Democracy is something progressive.....we choose what we like at our own peril....watu wanajisahau sana wakiwa kwenye madaraka. Haya yanayoendelea yanatufundisha umuhimu wa kutenda kila kitu kwa weledi n.a. maslahi mapana ya Taifa. Tunavuna tuliyopanda.....simuonei huruma Nape.....nacheka tuMzee wa goli la mkono limemrudi!!!.....Malipo ni hapahapa!!!
Jamaa nae kaenda kindezi kweli alipaswa atumie hata taxi kama so bajaji kuwazuga hao wenye bastola!!!!Hapa alikuwa anaingia viwanja vya Protea Hotel kwa ajili ya kuingia ukumbini kuanza mkutano, ndipo hawa vijana walipomfuata na kumtaka asishuke kwenye gari badala yake aondoke...ila mwishoni alweza kuendelea na mkutano japo kwa mbinde!
Kwa serikali hii Dada ni ngumu sana! Tuombe Mungu atuepushe na majanga yanayo tunyemelea.Hiki kitendo kimenisikitisha sana tena sana.
Nape mtafutie wakili huyo askari akafundwe wajibu wake.