Nape Nnauye atishishiwa Bastola na kusukumizwa kwenye gari

Nape Nnauye atishishiwa Bastola na kusukumizwa kwenye gari

sasa kama ofisa CID ashapiga viroba vyake vya kuibia na anakumbushia unyanyasaji aliowahi kufanyiwa kwa depo unadhani angefanyaje??????? we do what we used to see in the (..................)
 
UTAFITI MCHANA KWEUPE...
nimeitazama [HASHTAG]#clip[/HASHTAG] ya Mh. Nape Nnauye (MB wa Mtama) alipotishiwa [HASHTAG]#bastola[/HASHTAG]. Nimejifunza haya:
1. Nape amekomaa na ni kijana jasiri.
2. Nape ni mwanasiasa anayeijua siasa.
3. Nape amesimamia anachokiamini.

Hata hivyo, kwa upande mwingine nimepata nafasi ya kumuona mtu (aliyevaa jeans na kapelo) akimtolea bastola Nape. Mtu mwenye bastola anaonekana ni [HASHTAG]#mwoga[/HASHTAG] kwa kuwa Nape hakuwa [HASHTAG]#adui[/HASHTAG] wala hakuwa na silaha.

Nimejifunza kwamba, nchi hii kama Nape (ambaye aliwahi kuwa Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM) ametolewa bastola mbele ya watu mchana kweupe; kuna uwezekano mkubwa kwa watu wa kawaida kuuawa na kutupwa kama mbwa.

Nchi inaelekea kwenye [HASHTAG]#anarchy[/HASHTAG] na wanaoipeleka huko watakuja kuvuna [HASHTAG]#upumbavu[/HASHTAG] wao. Mwisho wa utafiti huu wa mchana kweupe. Nampongeza Nape kwa kutoogopa bastola na kutomuogopa aliyewatuma waliyekuja na silaha kuzuia #press_conference yake Protea Hotel.
 
Conspiracy haziwezi kukosekana katika tukio nyeti kama hili. Kwa upande wangu nadhani tufunge huu mjadala tumrudie DAB kama ameshapekua makabati atuonyeshe VYETI sasa.
 
Alafu bastola kaitoa kwa mkono wa kushoto alafu kulia tena[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
UTAFITI MCHANA KWEUPE...
nimeitazama [HASHTAG]#clip[/HASHTAG] ya Mh. Nape Nnauye (MB wa Mtama) alipotishiwa [HASHTAG]#bastola[/HASHTAG]. Nimejifunza haya:
1. Nape amekomaa na ni kijana jasiri.
2. Nape ni mwanasiasa anayeijua siasa.
3. Nape amesimamia anachokiamini.

Hata hivyo, kwa upande mwingine nimepata nafasi ya kumuona mtu (aliyevaa jeans na kapelo) akimtolea bastola Nape. Mtu mwenye bastola anaonekana ni [HASHTAG]#mwoga[/HASHTAG] kwa kuwa Nape hakuwa [HASHTAG]#adui[/HASHTAG] wala hakuwa na silaha.

Nimejifunza kwamba, nchi hii kama Nape (ambaye aliwahi kuwa Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM) ametolewa bastola mbele ya watu mchana kweupe; kuna uwezekano mkubwa kwa watu wa kawaida kuuawa na kutupwa kama mbwa.

Nchi inaelekea kwenye [HASHTAG]#anarchy[/HASHTAG] na wanaoipeleka huko watakuja kuvuna [HASHTAG]#upumbavu[/HASHTAG] wao. Mwisho wa utafiti huu wa mchana kweupe. Nampongeza Nape kwa kutoogopa bastola na kutomuogopa aliyewatuma waliyekuja na silaha kuzuia #press_conference yake Protea Hotel.
pongezi pia kwa MAULID KITENGE...
 
Kitenge amefanya jambo la Busara sana kuliko huyo mwanausalama ambaye amevamia kama Jambazi bila kujitambulisha!
 
Nimempenda sana Nape nnauye ameonesha ukomavu wa kiakili na kisiasa. Hayumbishwi
 
Hapa ndio CCM yetu ilipofika kutumia nguvu na mabavu.hii nchi haya masuala tulikuwa tunayasikia tu kwa majirani.napata Mashaka na dhamira walio nayo viongozi wakuu.
 
halafu nimeona kama mgeni na bastola hata alivyoitoa, nahisi alitaka labda nape aback fire, halafu hapo afyatue, au bashite alimtuma akamumalize, ila kitenge katumia busara sana, sikujua kama huyu jamaa ni usalama mkubwa tu
 
Ni vizuri na wasomi waanze kupiga kelele waonyeshe kweli wamesoma, uoga uoga ndiyo umetufikisha hapa, huyu mdingi watu wanamnyenyekea balaa.

Huyu mzee siku yake inakuja, ataishia jela kulipa upuuzi huu. Kama anahisi atageuza nchi iwe Zimbabwe ajipange upya.
 
Huyo hajakaa kama polisi , naona kama wahuni wa bashite tu.na yeye ndio ikulu kwa sasa anazo nguvu kuliko yoyote ....askari usalama hawezi kuweka bastola kushoto wakati anatumia mkono wa kulia....kama ni kwenye action ameshatunguliwa zamani..hebu angalia ametoa bastola mkono wa kushoto halafu anaipeleka mkono wa kulia..
ni mhuni tu wa bashite ambaye tujiandae kwani inaonekana ametayarisha magenge ya kitaharamwe kudhuru wanao mpinga...na Nape ameoneshwa hawa jamaa kama sio Kitenge kuwazidi basi wangemchukua na kumdhuru
 
Ni mwana usalama pia
Kama ni usalama kweli, kwa kusema hapa bado tu "kofia" yake itakuwa covered au blown?

Naamini kwa mtu yeyeyote mwenye utashi, ufahamu na elimu ya kujitambua na kufahamu haki zake. Akijumlisha na ujasiri kidogo halafu akifikiria position ya mh. Nape, anaweza kufanya kama alichofanya Maulid. ,
 
Back
Top Bottom