Nape Nnauye atishishiwa Bastola na kusukumizwa kwenye gari

Nape Nnauye atishishiwa Bastola na kusukumizwa kwenye gari

Shujaa wa leo ni kitenge sasa ajiandae kusingiziwa madawa ya kulevya na mapacha wawili.
Jamaa kafanya kazi kubwa sana, Nape alikuwa anasukumizwa ndani ya gari kama tenga la nyanya vile. Kitenge kaokoa jahazi.
 
Jamaa nae kaenda kindezi kweli alipaswa atumie hata taxi kama so bajaji kuwazuga hao wenye bastola!!!!

Boss is never be wrong always sasa ukishang'amua unajihami hii inchi si ile tena jamaa anataka let's maendeleo so maendeleo hahahitaji usihasa haha rejea China na ujerumani enzi za Adolf.

Anyways MTU niliemtaraji ktk baraza kukaa pembeni ni Makamba Ila jamaa aliusoma mchezo mapeeema akaunyuti kama hayupo vile!!!!

Pambana Nape, nimekumbuka ile ziara yako na kinana ya kuimarisha chama haha Leo fala mmoja anakutolea mguu wa Kuku kaa mkao watakushoot for sure hao jamaa huwezi jua wamekuja na agizo gani dhidi yako toka kwa boss wao/
Shujaa wa CCM aliyekataliwa na kudhalilishwa na wa chama chake! Iwe fundisho!
 
Aibu kubwa sana kwa maafisa usalama wote, kamanda siro muangalie kijana wako laa sivyo itakuwa zamu yako kutumbuliwa.
 
Na wakamshikia bastola katika nchi yenye democrasia kama Tanzania

Na bado tunaimba nchi ya amani!!! Watu wanatishiana kwa bastola; Nape alimwambia ajitambulishe akakaa kimya, je angekuwa jambazi anataka kumteka? Kitendo hiki chote kinahitaji investigation ya kujua kwanini kimetokea kwa waziri aliyetumbuliwa ambae alikuwa hata bado kukabidhi ofisi!!
 
Ni aibu kwa taaluma nzima ya usalama,kwa mwanausalama kumvamia kiongozi bila ya kujitambulisha na kuonyesha kitambulisho na kuanza kumtisha kwa bastola ili atii amri yako.

Nakushauri kamanda Sirro umrudishe uyu kijana akasome vizuri sheria za usalama kuliko kulitia aibu jeshi la polisi.
ae9d14574e3bbed226f3c2cf1d2f8bf7.jpg
217b388a8e7c271a658257fd2558bced.jpg
Sometimes hawa ndugu zangu wanausalama wanakuwa kama wameshikiliwa akili
 
CCM mlizani ni kina Lema tu ndiyo wataburuzwa na mtutu wa bunduki.

Shime wana CCM jioneeni mwenyekiti wenu anavyowafanya bila huruma na mlimpigania kweli leo anawageuka wakati mnatenda haki
 
Nguvu yote hii ya mabastola ilikua na lengo gani? Nani kawatuma hawa askari? Kama anajiamini na utawala wako kwa nn utumie dola kwenda kupambana na mtu asiye hata na nyembe. Shame on u JPM baadae unajidai mniombee msema kweli mpenzi wa Mungu. Acheni kabisa kumchezea Mungu ntatysababishia laana Taifa letu
Siku hizi haombi tumuombee!
 
Ujasiri aliouonyesha Maulidi Kitenge katika sakata la Mh Nauye ni wa ajabu. Waandishi wote na mamia ya watu waliokuwepo waliufyata huku wakishuhudia Mh Nauye akirudishwa garini kibabe na vijana wanaodhaniwa ni Usalama wa taifa tena wakiwa tayari walishaonyesha wazi kuwa wana bastola ila Kitenge akiwa ndani ya Suti alitumia nguvu na busara kuzuia jaribio lile akoshirikiana na mlinzi mmoja wa Nape

Source; Video za tukio
 
Back
Top Bottom