pumzihaiuzwi
JF-Expert Member
- Mar 27, 2015
- 3,273
- 3,083
Chakushangaza nini mbona bashite alibeba mitutu na kutishia kina soud kule clouds lazima wamuige bosi wao.
Kilicho baki wananchi tuungane kujihami na udikteta huu leo kwa nape kesho kwako nchi imekua kampuni ya watu wawili
Kilicho baki wananchi tuungane kujihami na udikteta huu leo kwa nape kesho kwako nchi imekua kampuni ya watu wawili