Nape Nnauye atishishiwa Bastola na kusukumizwa kwenye gari

Nape Nnauye atishishiwa Bastola na kusukumizwa kwenye gari

Mtu akileta ubishi na apigwe tu!!!! Asante pinda
 
Askari ni binadamu ambao unaweza ukawatuma utakavyo na wakafanya bila kuhoji hata ukiwaambia nendeni mkaue basi watatenda na yakiharibika unawakataa wanabaki wenyewe bado wataogopa kusema walitumwa heeeeee heeee narudia tena Alhamdullilah namshukuru Mungu sikutumbukia kwenye kazi hii na kwenye kizazi chetu hakuna aliekumbwa na balaa hili sijui wanalishwa nini maana baba zima ila linaweza kutumwa na Bashite na likaenda bila kuhoji [emoji23][emoji23][emoji23]
Uyo askari hapo ukimuuliza kwa nini alikua anatumia nguvu zote hizo hata mwenyewe atashangaa na anaweza kukataa kua sio yeye heee heeee
Haaahaaaa[emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
maulidi kitenge ni nan kama ndio yule aliovaa koti jekundu pale aisee yupo fit kwa amemsukuma jamaa alivoona jamaaa amepanic akacheza na saikolojia yake ili jamaa asipanic zaidi baada ya kusukumwa
 
Tatizo ni kuwa usalama wa taifa ni kurisishana hata kma mtu hna elimu anatengenezewa vyeti. Kuna wana usalma wnavuta bange na nwajua
 
Haya yote kisa kijana mdogo wa miaka ishirini na ngapi sijui ....kijana mdogo anaweka nchi kwenye tension
Kama mambo ya msing yangefanyika tokea mwanzo kwani ingefika mpaka huku?? Mpaka tunatoleana bastola hadharani..?? Nonsense

Haya yote kisa kijana mdogo wa miaka ishirini na ngapi sijui ....kijana mdogo anaweka nchi kwenye tension
Kama mambo ya msing yangefanyika tokea mwanzo kwani ingefika mpaka huku?? Mpaka tunatoleana bastola hadharani..?? Nonsense
 
Arudishe simu ya Tundu kwanza inaelekea hii wiki ya kuongeza wateja
 
iiii hata mm huwa naifanya nikikuta ugomvi club huwa naingilia af namuangalia yule baunsa namsukuma kwa shari kuna maneno unaweza kuongea ili asikurudi itakiwa akili ya chap chap sana lakin inatakiwa ujue ngumi kidogo wengine ni vichaaa
 
  • Thanks
Reactions: MC7
Hata situation haikuwa tense kiasi cha kumlazimisha atoe bastola, huyu sio usalama atakuwa mgambo wa jiji aloyepandishwa cheo
 
Nimesikitika sana nilivyoona hii video, nikajiuliza kama ni mnywaji pombe huko bar sijui anakuaje. Amenitia aibu nimeshindwa ata kumtazama mara mbili
 
Back
Top Bottom