Askari Muoga
JF-Expert Member
- Oct 22, 2015
- 6,113
- 4,658
Huyo askari ni mzembe ile bastola angeweza nyang'anywa kizembe askari kama yule n hasara kwa taifa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yn anaoneka kbsaaaa....jamaa aliyekuwa anasukuma atakuwa mkoromije huyu, manake kama ana kisasi nae
Halafu wengi wao wana toka makabila yaleeee.....yenye hasira za juu juu visasi visasi...ugomvi ugomvii》》》Askari wengi ni Failure.... Hawana tofauti sana na Bashite aliyekula Faa Zote........
》》》Hivyo hawawezi kutumia akili ambazo ktk hali halisi hawana hizo akili.....
》》》》》
Ni aibu kwa taaluma nzima ya usalama,kwa mwanausalama kumvamia kiongozi bila ya kujitambulisha na kuonyesha kitambulisho na kuanza kumtisha kwa bastola ili atii amri yako.
Nakushauri kamanda Sirro umrudishe uyu kijana akasome vizuri sheria za usalama kuliko kulitia aibu jeshi la polisi.
Haapa alivyotolewa bastola, Msanii Harmorapa naye alikuwepo hapo ila alitimua mbiop baada ya Bastola kuonyeshwa
Mhh, mashaka matupu. Yaani Kitenge aliamua kujilipuaKuna MTU kasema "mnasubiri nini ?" HV ana maana gani
kitenge is an agentMhh, mashaka matupu. Yaani Kitenge aliamua kujilipua
Yuko wapi humu??Mimi kanichekesha huyo harmorapa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ni aibu kwa taaluma nzima ya usalama,kwa mwanausalama kumvamia kiongozi bila ya kujitambulisha na kuonyesha kitambulisho na kuanza kumtisha kwa bastola ili atii amri yako.
Nakushauri kamanda Sirro umrudishe uyu kijana akasome vizuri sheria za usalama kuliko kulitia aibu jeshi la polisi.
Haapa alivyotolewa bastola, Msanii Harmorapa naye alikuwepo hapo ila alitimua mbiop baada ya Bastola kuonyeshwa
Soma unielewe kaka, wapo wa TISS ni wajinga huwez kufikiria kama ni wao ingawa ni wachache, walisumbua sana kipindi cha katikati hapo
Agent of whtkitenge is an agent
Acha anyoshwe umesahau alivyomdhalilisha Lowassa akamuombe msamaha.
certainly...maana ugomvi wa bastola wa usalama hauamuliwi na mwandishi wa habari wa michezo.kitenge is an agent
Yaani hii mijitu naichukia kuliko kinyesi. Maana ht chako mwenyewe ukikikanyaga unachechemea. Hii hii ndio mijambazi mikubwa mijizi kila mahali hilo halina ubishi. Mashetani kbs.Kuna MTU kasema "mnasubiri nini ?" HV ana maana gani